NAKALA - USIYOYAJUA KUHUSU TONGWE RECORDS!!

5:06 AM
5HINTS
USIYOYAJUA KUHUSU TONGWE RECORDS!!
1. TONGWE STUDIO IPO MASAKI DARESALAAM (Ukishuka kilima nyege mbele kunja kulia kama unaenda coco beach...kisha ukipita tuta la 1 na la 2 unaingia kushoto utakutana na geti jeusi ndio hapo hapo)na sio kigamboni wala tanga kama watu wanavyodhani!!
2.CEO wa tongwe records ni J.murder @j_murder_tongwe na producer wa tongwe ni J.rider @jrydertr !! So j.murder na j.rider ni watu wawili tofauti!! Na kwa miaka miwili sasa since 2012 huyu producer j.rider hayupo nchini hapa yupo finland!!

NEWS - TETESI ZA SOKA ULAYA

5:02 AM

Arsenal watatakiwa kutoa pauni milioni 24 kumsajili kiungo wa Sporting Lisbon William Carvalho, 22 (Daily Telegraph), beki wa Southampton Dejan Lovren, 25, anakaribia kukamilisha uhamisho wa pauni milioni 20 kwenda Liverpool wiki hii (Times), Liverpool wamemuulizia kiungo wa Real Madrid, Isco, 22, baada ya mabingwa hao wa Ulaya kumsajili Toni Kroos na James Rodriguez kutoka Colombia (Daily Star), Leicester wanamfuatilia mshambuliaji kutoka Algeria Islam Slimani, 26, anayechezea Sporting Lisbon (Daily Mail),

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates