PICHA - SPIDER KUJA NA NYIMBO MPYA BAADA YA MFUNGO WA RAMADHANI

1:20 PM
 Mkali wa miduara na zouk Spider a.k.a baa shani anataraji kuachia ngoma baada ya mfungo wa mwezi mtukufu akionge na chiwileinc Spider ambae pia ni mtangazaji wa chuchu fm radio amsema ngoma iko tayari

PICHA - SOMA ALICHO ANDIKA HAMMER Q KUMWAMBIA LIL GHETO DAH! NOMA SANA AISEEE

3:51 AM

Nimepata data zako bob
Lakini Na amini kuwa MUNGU pekee ndie ana mamlaka ya kuamua lolote juu yangu na sio wewe Nitakupenda km binaadam mwenzangu hata km nimestuka kuna mabaya unayonitendea naamini hujui ulitendalo...! Nitaendelea kuishi kwa uhalisia
wa
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates