Home » Archives for 06/11/14
PICHA - HUYO NDIO MTOTO WA MWANAMUZIKI WA HIGHLAND BAND WILLIAM WIGO A.K.A SAUTI YA VOCHA ANAITWA ROMEO
MWANA FA FT GNAKO MFALME - LYRICS - ENJOY
4:03 AM
•
Mwana FA ft G Nako - Mfalme lyrics
[Mwana FA]
Look around brother
Choir Master!
Ghetto Gospel (Yes!)
Keeping the good music alive!
[G Nako]
[Mwana FA]
Look around brother
Choir Master!
Ghetto Gospel (Yes!)
Keeping the good music alive!
[G Nako]
PICHA - LEO NI BIRTHDAY YA PRODUCER JAY MURDER SOMA ALICHO ANDIKA ROMA KWNYE INSTAGRAM
Straight from tongwe records...daresalaam!!
Miaka 5 sasa jamaa alinipokea na kukubali kile ninachofanya!! na kunipa record deal ndani ya ngome yake !! Na sikumuangusha hata kidogo kuanzia MR PRESIDENT.....KKK!! Na baadoo!!
Miaka 5 sasa jamaa alinipokea na kukubali kile ninachofanya!! na kunipa record deal ndani ya ngome yake !! Na sikumuangusha hata kidogo kuanzia MR PRESIDENT.....KKK!! Na baadoo!!
STORY - Dalili za mume anayetembea kimapenzi na msichana wa kazi za ndani
Dalili za mume anayetembea kimapenzi
na msichana wa kazi za ndani
‘hausigeli’. DALILI YA KWANZA Ishara ya kwanza ya mwanaume ambaye tayari yupo ndani ya uhusiano
na msichana wa kazi za ndani
‘hausigeli’. DALILI YA KWANZA Ishara ya kwanza ya mwanaume ambaye tayari yupo ndani ya uhusiano
AUDIO - JOKETI KUTOKA NA NGOMA MPYA SOON..! PRODUCERR NI ALONEYM
Mwanadada Joketi mwengelo kidoti ambae anafany poa kupitia kaka na dada akiwa na producer Luchi anataraji kuachia ngoma nyingine ambayo amesema itakuja kushtua akiongea na chiwileinc.com amesema
AUDIO - ALONEYM AONGELEA UKIMYA WA RAP KWANZA NATION PAMOJA NA UWEPO WA MUSSA CHOMBO NDANI YA RKN
producer toka Kwanza music Aloneym amelezea ukimya kwa kundi lake la RAP KWANZA NATION na kusema kua imetokana na kuongeza member wapya wawili n kufanya kundi kua na watu 7 na soon watachia ngoma kali wakiwa pamoja "unajua baada ya kufika uku kuna artist waliomba kuingia kwenye kundi tukaona cha tuwe nao tupate nafasi ya kujipanga vizuri zaidi ila kila kitu kipo sawa na soon utasikia kazi zetu
alifungua Aloneym msikilize hapo HAPA CHINI
alifungua Aloneym msikilize hapo HAPA CHINI
LOVE STORY - JIFUNZE KULINDA AHADI YAKO KWA UMPENDAE
Miaka kumi na mbili iliyopita binti huyupichani aitwaye Dear alikuwa namahusiano ya kimapenzi na kijana mmoja wakiwa na umri wa miaka 18.Walipendana sana na kuapiana kuwa
FAHAMU JINSI WANAWAKE WANAVYOSHAMBULIWA NA U.T.I
U.T.I kirefu chake ni UrinaryTract Infection ni maambukizi ya bakteria mbalimbali wanaoshambulia mfumo wa mkojo, yaani kwenye figo (kidney), kibofu cha mkojo na mifereji inayotoa mkojo (urethra) Mifereji inayotoa mkojo kwenye figo (ureter) na mfereji unaotoa mkojo nje, mara nyingi bakteria hushambulia sehemu za chini za mfumo wa mkojo yaani urinarybladder na kitaalamu kuitwa bladder infection. Bakteria
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)