PICHA - PICHA ZA LOCATION VIDEO YA ZEETOWN SOJAZ FT CHIBWA

9:10 AM

Picha ya Demu wa Young Killer yashangaza watu baada ya kuacha chuchu wazi

8:40 AM
 Picha hizi zimezua story kwenye mitandao mbali mbali ya kijamii, baada ya Demu wa Rapper anaechipukia kutoka Tz kuonekana akiwa amejimwagia pesa juu ya kifua chake huku sehemu ya chuchu upande mmoja ikiwa wazi.
Pengine ni furaha ya pesa imesababisha mpigaji picha na mpigwaji kutokuona hiyo sehemu, pia imeleta mtazamo tofauti kwa watu kuwa Rapper huyo ameshaanza kuvuta mpunga kwa sasa hivyo kama pesa zinampa mzuka wa kufanya haya.
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates