SOMO LA LEO - WANAWAKE, HEBU JIFUNZENI KUPITIA HII HAPA

1:51 AM


MWANAMKE MWEREVU NA MWENYE MAPENZI KAMA HAYA KAMWE HAWEZI KUSALITIWA.

1.Unaamka yeye kashaamka na kusema
"baby amka maji ya kuoga yapo bafuni"(mwanamke adimu sana)

PICHA - NATAMANI KUJA HUKO ULIKO ILA FURSA, MAJUKUMU NA WAKATI VIMEBANA

1:39 AM

NATAMANI KUJA HUKO ULIKO ILA FURSA, MAJUKUMU NA WAKATI VIMEBANA, ila afya na uzima vikiwepo nitakuja tujadiliane.
KWA LEO SWALI LANGU NI KWA NINI MOYO UNAPAPARA SANA ? HAURIDHIKI

STORY - TAFAKARI

1:37 AM


                                                    
                                                 KUNA WIZI ULITOKEA BENKI
 Jambazi  "wote laleni chini pesa ni za serikali na maisha ni ya kwenu", wote wakalala chini

HII INAITWA DHANA YAUSHAWISHI - kubadilisha njia ya kawaida ya kufikiria

•••••••••••••••••••••• Kuna dada kwa woga akawaamelala chini kimitego,Jambazi akamwambia,

MAHOJIANO YETU NI OVYO KABISAAA

1:19 AM


Na edo kumwembe

BADO Napata wakati mgumu. Nafungua magazeti ya Ulaya nayasoma huku natabasamu. Halafu baadaye nafungua magazeti ya nyumbani huku nakunja sura. Na hasa linapokuja suala la mahojiano.
Unasoma kwa makini kauli ya mtu unayemuheshimu. Ukimaliza unakunja sura. Unatamani kupata namba

PICHA - KAMA HAUJAAHI KUMUONA MKE WA HUSEIN MACHOZI PICHA ZIKO HAPA

12:25 AM

NEW SONG - ABRAMY - UNANIKERA

12:04 AM
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates