WAFAHAMU MATAJIRI WAKUBWA TANZANIA NA VYANZO VYAO VYA MAPATO VIKO HAPA

4:23 AM
R. Mengi
WAFANYABIASHARA watano, Said Bakhressa Gulam Dewji, Rostam Aziz, Reginald Mengi na Ali Mufuruki, wametajwa na Jarida la Ventures Africa linalozungumzia masuala mbalimbali ya uchumi wa Afrika kuwa ndiyo matajiri zaidi nchini.

LINAH APACHIKWA MIMBA NA MHINDI KIULAINI KABISA, SOMA UONE MAMBO YALIVYOKUWA

4:11 AM
MSANII nyota wa muziki wa kizazi kipya, Estelinah Sanga maarufu kama Linah, anadaiwa kupewa ujauzito na kijana mmoja wa Kihindi anayejulikana kwa jina moja la Nagar.

Estelinah Sanga 'Linah'. Chanzo cha uhakika kimeliambia gazeti hili kuwa msichana huyo aliyeibukia kutoka kituo cha kukuza vipaji cha THT, amekuwa karibu na Mhindi huyo anayedaiwa kuishi Mbezi jijini Dar es Salaam kwa muda mrefu sasa na kwamba mimba hiyo imeonekana kumfurahisha sana msanii huyo.
“Huyu Nagar ni mpenzi wake wa muda mrefu na inaonekana hii mimba

ANGALIA PICHA SMILE WA KICHEF CHEF AKIWA SEHEM TOFAUTI NCHINI KENYA

4:09 AM

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates