BUNGE MAALUM LA KATIBA LIMEANZA LEO:

2:28 AM
Rais Jakaya Kikwete aliwahi kuviambia Vyama vya Siasa kwenye mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa Tanzania kuwa, “...tusidanganyane, mjadala wa Bunge la Katiba utakuwa kati ya Wanasiasa...tuna Wabunge wa Jamhuri, Baraza la Wawakilishi...katika wale 201 kuna Wanaotoka kwenye Vyama vya siasa, na hata wanaosalia kila mmoja ana Chama...mmekabidhiwa Katiba ya Nchi na sio muundo wa Muungano tu...mnayo mengi ya kujadili kwenye Rasimu hii...“

NEW TRACK - WALEO PERFORMANCE - FUTA MACHOZI

1:59 AM
Hii ni ngoma mpya toka kwa kundi jipya la hip hop kisiwa zanzibar linalo kwenda kwa jina la waleo,performance ambalo linaundwa na member wa 3 Tunic wastaza Ison mistari, na Wamitano
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates