SOMA HISTORY YA HARAKATI ZA AZMA MPONDA

11:34 PM


DUUUUUU hii Ilikuwa SHOW YANGU YA KWANZA KUPERFOM nyimbo yangu,TULIKUWA TUNAUNDA KUNDI MOJA MIMI NA IBRAHIMU KIHITULA au JOKA....
What was SO interesting nilipopanda nikasahau mistari...tulipanga mimi nianze kisha afuate ibarahimu nilipopewa mic nikawa nasema oyo oyo oyo oyo kadiri muda unavyoenda ndio nikawa napanic na kusahau mistari,,ibra akachukua kipaza na kuanza kuchana kisha nikamalizia mimi..

BAADA YA KUFANYA NUMBER ONE NA DIAMOND DAVIDO AJA NA KOLABO ZAIDI

11:32 PM
Katika harakati ya kufanya muziki uendelee  level za juu kabisa na kuanza kuuza international basi ni vizuri kuanza hapa hapa nyumbani,then kama baadae flani hivi mambo yataanza kuji-set yenyewe na kukaa kwenye mstari. Kama ilivyo kwa msanii wa hapa Tzee Diamond platinumz  naye alienda huko West Africa pande za Nigeria akiwa amemsimamisha msanii mkali anayekula airtime huko nchini kwao , Davido  kwenye remix yake ya mynumber1.
Diamond-Davido-Number-One-Remix

GARI LAINGIA NDANI KWA PRODUCER NA KUMGONGA HADI KUMSABABISHIA MAJERAHA

10:43 PM



Producer Dupy

Producer wa 
UPRISE MUSIC DUPY amegongwa na gari baada ya gari kugonga studio na kuingia CHUMBANI kwa DUPY akiwa amelala! Pia amepata majeraha kidogo tunashukuru mungu ni mzima ila amepata maumivu ya mkono na kichwa kidogo ila all in all niko salama.



 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates