{4} MY NAME IS JEFF

2:59 AM
Kama kawaida yangu nikautuma ujumbe huo kwa mara nyingine kwenda namba za simu mbalimbali mara nikawa napigiwa simu na zile namba ambazo nilizozitumia ujumbe hule wengi walitaka kujua mimi ninani, wakiniuliza jina langu namimi nawajibu nikisema “MY NAME IS JEFF”.

HAPPY BIRTHDAY SHAMILA TERRY

2:55 AM

Mchezo wa Mapinduzi Cup Azam na Ashanti Uwnja wa Amaan.

2:51 AM
 Mchezaji wa timu ya Ashanti akiwa na mpira akimpita beki wa timu ya Azam katika mchezo wa mwisho wa michuano ya Mapinduzi Cup kituo cha Unguja, timu hizo zimetoka sare ya bila kufunguna.
          Mshambuliaji wa timu ya Azam Kipre Tchetche akimpita beki wa timu ya Ashanti katika mchezo wa Mapinduzi Cup.

Serikali yakabidhi usimamizi na uangalizi wa mashamba yake kwa Wizara ya Kilimo na Maliasili

 
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Makazi, Maji na Nishati Nd. Ali Khalil Mirza Kushoto na Mwenzake wa Wizara ya Kilimo na Maliasili Nd. Afan Othman Maalim wakikabidhiana ahati za usimamizi wa Mashamba ya Serikali ambayo yalikuwa chini ya usimamizi wa Wizara ya Ardhi.

BALAA JAMANIIII: MWENYEKITI WA CHADEMA TEMEKE AVAMIWA, APIGWA, ATUPWA UNUNIO, CHEKI HAPA

2:42 AM

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Temeke na Mjumbe wa Kamati

Baby Madaha na Kampuni yake walamba dili ya hela nyingi sana na kubwa zaidi Afrika Mashariki

2:38 AM
Ile record label maarufu ya muziki afrika mashariki - candy n candy imechapa fimbo nyingine baada ya kufanya deal ya mtonyo mrefuu na kampuni maarufu ya  kusambaza filamu afrika mashariki na kati, (Jina kapuni ) kwa ajili ya kusambaza filamu ya “The gal bladder”  ambayo imechezwa na mwigizaji baby madaha akishirikiana na waigizaji wengine toka kenya.

(AUDIO) WIMBO MPYA WA NAY WA MITEGO YAZUA BALAA, NAY NA MPENZI WAKE WAFARAKANA..! CHEKI HAPA

2:33 AM

Mpenzi wa Nay wa Mitego hajapenda kile alichokiona kwenye video ya Nakula Ujana.

Kwa mujibu wa Nay, video hiyo imesababisha ugomvi ndani ya uhusiano wao kutokana na Nay kuonekana kwenye video hiyo akishikwa kifuani na sehemu zingine za mwilini na wasichana warembo wa Kenya.

Msikilize hapa akiongea na chiwileinc

VING'AMUZI VYA ZENJI DIGTAL TV VIPO TAYARI CHECK PICHA HAPA

2:23 AM


TAZAMA VIDEO YA MAZISHI YA DKT WILLIAM MGIMWA‏ HAPA

2:13 AM
President Jakaya Kikwete leads hundreds of mourners at the burial ceremony of the late Dr William Mgimwa, Tanzania's Finance Minister who died on New Year's day 2014. The Ceremony was held at the deceased's Magunga village home in Iringa January 6, 2014

VIDEO- Diamond Feat Davido - Number One Remix (Official Video)

2:10 AM
Brand New
Video Directed By Clarence Peters Of Capital Dreams Pictures
Audio Produced By Sheddy Clever Of Burns Records.....Enjoy
Administered by Calif Entertainment Africa

VIDEO -SOPRANO MUSIQ FT P the Mc - Turn your Lights Down Low (Official Music Video)

2:04 AM
Artist:Soprano Musiq Ft P the Mc
Song:Turn Your Lights Down Low performed by Bob marley
Director:Mahad Jr/SEAN MEDIA PRODUCTIONS

WACHINA NOOOOOMA: CHEKI NJEMA ILIVYOTOLEWA NDUKI NA FIMBO NA WAJOMBA ZAKE JACK CHANG...! SOMA KISA HAPA UCHEKE MWENYEWE

1:59 AM


"Serikali ya China inajenga uwanja wa michezo jijini Lilongwe. Hio picha inaonesha msimamizi wa kichina akimfukuza kibarua baada ya kumcharaza viboko akiwa amekamatwa ameiba cables! Chezea wachina wewe. Kama uheshimu mali isiyokuwa yako unachapwa tu! Acheni kuleta siasa. Ukikamatwa unachapwa tu!" - Pat Tsere
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates