VIDEO- Nay wa Mitego - 'Nakula ujana' (Official video)

11:40 PM

video- Chege ft Gift - Chapa nyingine

11:37 PM

Diamond ft Davido - Number One Remix Teaser

11:34 PM

KAMA HAUKUWAHI KUONA AU KUSIKIA KUHUSU MISS ZANZIBAR PICTURES NA STORY IKO HAPA

5:55 AM
Hawa ndio miss zanzibar mwaka 1968 ambao waliwakisha zanzibar kimatifa kabla ya mashindano kufungiwa rasmin na serikali

NEW TRACK - KING POZA FT RICCO SINGLE - BADO

5:49 AM

UNAAMBIWA HAYA NDIO MATESO ALIYOKUTANA NAYO JACK PATRICK KWA MASAA 48

12:48 AM

Stori:  Jelard Lucas
HABARI ya kufungia mwaka 2013 na kufungua pazia la mwaka mpya wa 2014 ni madai ya mwanamitindo kiwango Bongo, Jacqueline Patrick kukamatwa katika  Uwanja wa Ndege wa Macau nchini China akiwa na mzigo wa madawa ya kulevya aina ya heroin lakini Risasi Mchanganyiko linaangaza mapya zaidi juu ya sakata hilo.

Mchezo wa Ufunguzi Kombe la Mapinduzi Simba na Leopard.Simba Ilishinda kwa Bao moja.

12:36 AM

Kocha wa timu ya Taifa ya Italia akiwapungua mikono Mashabiki wa Mchezo wa Mpira katika mchezo wa Ufunguzi uliozikutanisha timu za Simba na Leopard.

HIVI NDIVYO MARTIN KADINDA ANAVYOWEZA KUTUNZA SIRI ZA WAREMBO KIBAO WA HAPA BONGO,KAMA WEMA,JACK CLIFF NA WENGINE

12:26 AM

MSANII nyota wa filamu Bongo Wema Isack Sepetu amefunguka kwa kudai kuwa hawezi kuvunja urafiki na meneja wake Martin Kadinda kwa sababu kama kuna kitu chochote cha mafanikio nyuma yake yupo Kadinda.

KAMA ULIPITWA,WAPENZI WA WEMA NA DIAMOND WAMTUSI PENNY ....YASOME HAPA UTACHOKA

12:24 AM
Duuuhhh 
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates