UNAKUMBUKA ENZI ZA KANDA??? ALBUM GANI ILIKUWA YA MWANZONI MWANZONI KWAKO KUISIKILIZA????

10:59 AM

AIBU NYENGINE HII YA AINA YAKE: MCHUNGAJI ASHIKWA UGONI NA MKE WA MAREHEMU MUUMINI WA KANISA LAKE....SASA SIJUI NDO MATAMAIO YA MWILI AU??

10:52 AM


A pastor and a married woman said to be his lover have been arrested by police in Edo in connection with the murder of the woman’s husband, Victor Nsongbunyo, who is a Deputy Manager with the NNPC.
He was said to have been killed in Benin, capital of Edo State, by his wife and her lover, the Pastor, due to the fact that he had begun to suspect her of infidelity.

Dk Shein afungua Skuli ya Sekondari ya Chasasa , Wete Pemba

10:28 AM

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kama ishara ya ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Chasasa Wilaya ya Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba jana,katika Shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

RC Arusha aapa kumshughulikia Mkurugenzi wa jiji

10:00 AM

Na Joseph Ngilisho, Arusha
MKUU wa Mkoa wa Arusha, Nd. Magesa Mulongo ameapa kumchukulia hatua kali Mkurugenzi wa jiji la Arusha,Sipora Liana na amempa siku sita amwombe radhi,yeye pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Nd. John Mongela kupitia Kamati ya Fedha na Utawala kutokana na tabia yake ya umbea na maneno ya uchonganishi.

Athari za Matumizi ya Dawa za Kulevya Inauwa Wachaaaa

9:54 AM
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates