THANKS GIVING YA DIAMOND ALIVYOSHARE CHAKULA CHA PAMOJA NA WATOTO WA KITUO CHA AL-MADINA-TANDALE

10:32 PM
Jana nilipata fursa nyingine ya kushare chakula cha
 mchana na ndugu zangu, Wadogo zangu walio
 katika kituo cha Al_Madina kilichopo
Tandale yemen... 
kesho Jumanne ntakuwa kigogo 
katika kituo cha #NewLife kilichopo kigogo je unataka 
kuungana nami??? wasiliana na namba 
hii +255654019091 #PamojaWeCan #ThanksGiving

  

{3} MY NAME IS JEFF

9:09 AM



Nikawaza nita wezaje kuonekana mwema ilinibidi ni badilishe mwenendo wa maisha yangu nilijituma kufanya kazi mbalimbali  nikiwa na kazi ya kukusanya taka nyumba hadi nyumba nikiwa na mkokoteni. Sikumoja nili kwenda kutupa taka jalala  nikabahatika kuokota simu nakwabahati sikukuta laini ndani

KAMA ULIKUA HUJUI KUA BOB JUNIOR NI SHAROBARO KITAMBO CHECK PICHA HAPA

9:04 AM

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates