HIZI NDIZO SABABU 10 ZA WANAWAKE KUTOKUOLEWA NA KUISHIIA KUSAGANA TU

6:34 AM
Pamoja na kuwa kuna wanawake husita kuolewa, lakini jambo hili si kubwa sana kwa wanawake kama ilivyo kwa wanaume.
Kwa kiasi kikubwa katika suala la kutaka kuingia ndani ya ndoa, wanawake ni wengi ambao hutaka kufunga ndoa kuliko ilivyo kwa wanaume. Hilo tunaliona wazi tokana na shamra shamra awazo nazo mwanamke wakati wa maandalizi ya shughuli za Ndoa na Harusi.

MTIHANI UNAOWAKABILI BAADHI YA WANAWAKE WAINGIAPO KATIKA MAHUSIANO MAPYA

6:29 AM
Ni pale mwanaume anapoonyesha tamaa kubwa ya ngono na kulazimisha kukutana kimwili wakati mwanamke aliweka msimamo wa kutokutana kimwili na mwanaume yeyote mpaka baada ya muda fulani tangu kufahamiana na kuwa wachumba au mpaka pale watakapofunga ndoa

Hatimaye LULU afunguka sakata la kufumaniwa na Young D, hichi ndicho alichosema

6:12 AM


MWISHONI mwa wiki iliyopita, taarifa zilienea katika mitandao ya kijamii na vyombo mbalimbali vya habari Bongo kwamba msanii wa Bongo Fleva, David Genzi ‘Young Dee’ na nyota wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ wamebambwa na polisi wa doria wakivunja amri ya sita ndani ya gari aina ya Hyundai, Mbezi Beach jijini Dar es Salaam, tukio lililojaa utata mkubwa.

KAMA ULIPITWA,HAYA NDIO MAJANGA MENGINE YA MAANDALIZI YA KOMBE LA DUNIA HUKO BRAZIL 2014

6:03 AM
majnga brazil 1
Maandalizi ya mashindano ya kombe la dunia yako hatarini kuingia dosari baada ya wafanyakazi wa viwanja kadhaa ambavyo vinaendelea kujengwa kupanga kufanya mgomo .

HIVI NDIVYO JUX ALIVYOMLIPA DIAMOND KWA KUONESHA JEURI YA PESA

6:02 AM
Jux
Muimbaji wa Uzuri Wako, Jux anafahamika kwa kuishi maisha ya kifahari kama vile kuvaa cheni za dhahabu, nguo na viatu vya bei ghali na vitu vingine, hali ambayo imekuwa ikimfanya aonekane kutofanya

HAWA NDIO WASHINDI WA XXL AFTER SCHOOL BASH AMBAO WANAFANANA NA MASTAA KAMA NGWEAR,BRUNO MARS NA BALOTEL

5:57 AM
hawa ndio walioibuka washindi ambao wamefanana na masta mbalimbali Duniani,wa kwanza ni yule jamaa aliyefanana na Albert Mangwear wa katikati ni yule aliyefanana na Bruno Mars na wa mwisho ni Balotel.

UEFA Champions League Round of 16...

5:55 AM

{2} MY NAME IS JEFF

5:21 AM
Nilipo timiza umri wa miaka 7 nilichukuliwa na Baba yangu aitwae Mr. Othman Falii alini chukua na kwenda kuishi kongo, Nili soma huko mpaka nilipo hitimu kidato cha 6 nikiwa na miaka 20 ukweli ni kwamba nili msahau MAMA yangu na hata nikimuona simjui tena pia sijui kama yupo hai au amekufa. Wakati namalizia kidato cha 6 kwa bahati mbaya BABA yangu alifariki Dunia ukweli kifo cha BABA yangu kili nichanganya

{1} MY NAME IS JEFF

5:07 AM


STORY  BY JEFF A.K.A RAFIKI WA KWELI

AIMANI SALIM KHASIM ni msichana mwenye miaka 24 akiwa anatoka masomoni akiwa ana degree ya sheria kwa ufupi AIMANI ankua mwana sheria wakujitegemea ,AIMANI anaomba kibali cha kutembelea wafungwa katika gereza kubwa hapa nchini bila kipingamizi AIMANI anafanikiwa kuupata kibali na kuanza

Dayna Nyange - Mimi na Wewe.(Official Video)

5:04 AM
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates