Tazama picha ya nyumba ya shilole anayoijenga kutokana na mafanikio ya muziki

8:12 AM
Mwigizaji Shilole leo ameonesha picha ya nyumba yake mpya anayoijenga maeneo ya kimara kutokana na mafanikio ya muziki.
Katika picha hiyo Shilole aliandika “Mungu nisaidie nimalize hii kitu ili watoto wangu wasije kupata tabu"
Hongera Shilole

Nasser ft Juicyrymes - Not Fair (Official Music Video)

8:09 AM

BAADA YA 2POIT NA SAUDA MKALOKOTA,KWENDA ZENJI FM RADIO NEY B NAE ATIMKA HITS FM RADIO

8:08 AM
General Manager Judah Mapunda akimkabidhi nakala ya mkataba Ney B 

Zanzibar Media Corp.Ltd na Zenji Media Ltd,Dk.Muhammed Seif Khatib akiwa kwenye pictures ya pamoja na wafanyakazi wapya waliojiunga na Zenji FM & Zenji TV.

Zanzibar Media Corp.Ltd na Zenji Media Ltd,Dk.Muhammed Seif Khatib akisalimiana na mfanyakazi mpya wa Zenji FM na Zenji TV....Saada Mamboleo kutoka Spice FM

DROGBA, EBOUE MATATANI KWA KUOMBILEZA KIFO CHA MANDELA DIMBANI

7:53 AM

KAMATI ya nidhamu ya Shirikisho la Soka la Uturuki-TFF linatarajia kuwahoji nyota wawili wa kimataifa wa Ivory Coast wanaocheza klabu ya Galatasaray, Didier Drogba ba Emmanuel Eboue kufuatia kuonyesha ishara katika mechi ya kumkumbuka rais wa zamani wa Afrika Kusini Nelson Mandela aliyefariki dunia Alhamisi. 

SINTASAHAU HUYU MDADA NIMEMVULIA KOFIA

1:39 AM
Mambo niaje wakuu..sijui hata nianzie wapi?...hawa wanawake...!! basi tu!!basi bwana nmekua nikimdate dada mmoja mwenyeji wa iringa
.sio siri kwa haraka haraka nlijua huyu ananipenda kwa dhati, mie kiukweli nlimpenda sana.Tumedate kwa almost mwaka na nusu,kwa mda wote huo sharti ilikua ni hakuna kugegendana mpaka tufunge ndoa.Kidume nlijipa moyo nkajikaza kwani mama nilihus namjua sana ni mlokole haswaa mpka watu uwa wananishangaa nlimptaje coz mie cnaga swaga za kilokole,aliku kesha nihakikishia kua yeye ni bikira na ajawai ku do.Kwa mda wote wa mapenzi yetu nmekua nikijaribu kuomba mchezo ila ilishndkana.juzi kati ulizuka ugomvi mkubwa sana kati yangu na yeye kisa kikiwa ni hicho hicho kugegenda,Mimi nkiwanataka yeye ataki,tumekaa bila kuongeleshana kwa almost wiki nzima,jana jumamosi ndo aliamua kuvunja ukimya na kuniita niende kwake ili tusort out ili tatizo.Tuliongea mengi ila dada bado alikua kashikilia msimamo wake ila akaniomba nimpe mda kidogo afikilie jinsi ya kulifanya hilo,nlimkubalia,basi ile kuangana kwa hugs na kisses tukajikuta kitandani bahati nzuri ni kama she was 50/50 kufanya,na mie sikutaka kua ---- nikatoa dudu fasta nikijua leo ndo naifumua zawadi yngu ya chrsmas...mmmh..nlichokikuta huko staki kuamini mpka sa hvi..nahisi mie nlikua mwanaume wa 20 kuzamisha. Hata gori nlishdwa kupiga kwa sababu ya mawazo nlokua nayo,nlivaa surua yangu taratibu. nkimwacha demu analia sana uku akiniomba msamaha daa wanawake siwatamani tena.. 

Credit:Udakuspecially.

KWA NINI NAWAPENDA WANAWAKE....

1:30 AM
.
Mme na mke walikuwa wamekaa wanatazama TV
mara mke akasema, “Ushakuwa usiku sasa,
nimechoka ngoja nikalale”
Akanyanyuka na kwenda jikoni akawaandaa samaki
wa chakula cha siku ya pili mchana, akapika chapatti
kwa ajili ya chai ya siku ya pili asubuhi kisha
akachemsha chai kwa ajili ya watoto asubuhi.
Akaiandaa meza na kuweka kila kitu muhimu kama
vile vijiko, vikombe, sahani, cocoa, majani ya chai nk
kwa ajili ya chai ya asubuhi.
Kisha akaingia ndani na kuandaa nguo za kuvaa
mmewe asubuhi na watoto wake waendao shuleni,
akaja sebuleni na kuondoa makaratasi na kuweka
vitu sawa baada ya watoto kuvichezea, Akachukua
simu na kuzichaji akaweka kila kitu sehemu yake.
Akajinyoosha ili aende kitandani lakini aka kaka mezani
na kuandika karatasi ya kumkumbusha kwenda
shuleni, akachukua kadi na kuandika kwa ajili ya
kuwatakia birthday marafiki zake siku ya pili na
kuziweka kwenye bahasha.
Akaorodhesha mahitaji ya kuchukua sokoni siku ya
pili yake akitoka kazini na kuweka vitu vyote karibu
na mkoba wake. Akaingia bafuni akauosha uso wake
na kujikausha, akapiga mswaki ….. Mme akamwita,
“Nilifikiri umeenda kulala kumbe bado.” “Ndio nataka
kulala sasa,” akajibu.
Akanyanyuka na kwenda kuhakikisha milango yote
imefungwa na kuifunga. Akapita chumba cha watoto
na kuweka neti vizuri na kuongea na mmoja
aliyekuwa akimalizia kazi za shule.
Akawategea kengele ya saa ya kuwaamsha asubuhi
wasichelewe kujianda na kuhakikisha taa zimezimwa
na radio pia akarudi chumbani kwake na kuweka nguo
zake vyema za kuvaa kesho yake. Kisha akasali na
kumshukuru Mungu kwa kumaliza majukumu ya siku
salama.
Mme yeye alisimama pale alipokuwa amekaa
akitazama TV, akaizima TV na kujisemesha, “Naenda
kulala sasa" bila kujua anamwambia nani muda ule.”
Na akaenda kulala bila kufanya chochote wala kuwa
na wazo la kufanya chochote
Umeona umuhimu wa mwanamke hapa? ujumbe
huu kwa kuonyesha umuhimu wa wanawake …
Wao ni chimbuko la furaha zetu na mafanikio yetu…
ujumbe huu usomwe kwa kila mwanamme ili nao
waone umuhimu wa mwanamke katika Maisha
yao……!!!
Amen

Huyu ndio Mshindi wa Project Fame 2013

1:24 AM
taskerproject
Irakoze Hope
Ni wakati wa furaha kwa watu wa Burundi na mashabiki wa Hope baada ya Irakoze Hope wa nchi hiyo kutangazwa mshindi December 8 2013.
Umri wake ni miaka 25.

Mkasi - SO7E10 With Henry Mdimu

HILI NDIO BALAA LA KIGOMA ALL STARS(LEKADUTIKITE) HUKO MOMBASA

1:13 AM


.
.
Kundi la Kigoma all stars limeanza ile tour ya East Africa kutembelea nchi kama Kenya, Rwanda na Burundi kwa ajili ya kutangaza Amani kwa muziki wao. Wameianza tour tayari kwenye jiji la Mombasa. Hizi ni baadhi tu ya picha za tukio lenyewe.

KATIKA KULETA MABADILIKO YA VIPINDI VYA RADIO NA TV AMBAYO ITAANZA KUA HEWANI JANUARY 2014 HAWA NDIO WATANGAZAJI WAPYA WALIO CHUKULIWA NA ZENJI FM & ZENJI TV

12:40 AM
General Manager ZMCL,Judah Mapunda akimkabidhi nakala ya mkataba Mtangazaji mpya
ZAINAB JAFFARY toka  C2C


General Manager ZMCL,Judah Mapunda akimkabidhi nakala ya mkataba Mtangazaji mpya 2poit

General Manager ZMCL,Judah Mapunda akimkabidhi nakala ya mkataba Mtangazaji mpya Sauda Mkalokota

General Manager ZMCL,Judah Mapunda akimkabidhi nakala ya mkataba mtangazaji mpya Bi. LUCY NDASKOI

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates