Reasonable Doubt Ndio Album Isiyoisha Utamu Katika Album Zote Za Jay Z, Orodha Ya Zinazofata Iko Hapa

10:53 AM


Reasonable Doubt inabaki kuwa album bora kwa rapper Jay Z Katika album zake zote. Kwenye siku yake ya kuzaliwa jana akifikisha miaka 44, Jay ameweka orodha hii
kwenye mtandao wake wa lifeandtimes.com kuwa Reasonable Doubt ndio cd bora na ya mwisho kabisa ni Kingdom Come.

Orodha Na Picha Iko Hapa

Kwenye Tuzo Za Grammy Za Mwaka 2014, HipHop Imechukua Nafasi Kubwa Hapa

10:47 AM

Hiphop ni muziki unaopewa heshima sana kwenye kila tuzo duniani na ndio unakuwa na ushindani sana sababu ya ugumu wa kipimo cha
kazi bora ya hiphop. Kwenye tuzo za  grammy za mwaka 2014 hiphop imepewa nafasi kubwa kwenye vipengele hivi na wasanii hawa wametajwa.

Drake Kujenga Studio Kwenye Shule Yenye Wanafunzi Hatari Zaidi Marekani

10:46 AM
Rapper Drake wa Young money amesema amehamasika kuishaidia shule ya hatari sana nchini marekani baada ya kuona taarifa ya shule na mazingira yake kwenye vyombo vya habari.

ANGALIA PICTURES JINS MTI ULIVYO ANGUKIA GARI LEO JANG'OMBE SKULI YA MAANDALIZI NA KUSABABISHA NJIA KUFUNGWA

4:22 AM
gar ndogo  rangi ya blue akiwa imeangukiwa na mti mkubwa uliokua pembezoni mwa barabra ya jang'ombe

kikosi cha zima moto na uokoaji wakifanya kazi ya kumuokoa majeruhi aliekua ndani ya gari lililo angukia na mti

ndani ya gari kulikua na mtu mmoja ambae ni dareva ameokolewa na kuwahishwa hospital

RIPOTI MAALUM / YA NELSON MANDELA R.I.P

2:04 AM


 

  Mpigania haki za weusi na alama kuu ya udhalimu wa mfumo wa Ubaguzi wa Rangi nchini Afrika ya Kusini Mzee Nelson ‘Madiba’ Mandela amefariki dunia baada yakuugua kwa muda mrefu kufuatia maambukizi ya mapafu kushindwa kutengemaa kwa muda sasa. Mzee Mandela ambaye kwa miezi kadhaa sasa amekuwa akisumbuliwa na matatizo ya maambukizi kwenye mapafu yake amefariki dunia nyumbani kwake ambako alipelekewa toka hospitali ya Moyo ya Mediclinic mjini Pretoria, chini Afrika ya Kusini baada ya familia yake kuomba kufanya hivyo. Mzee Mandela alipelekwa hospitali hiyo Jumamosi ya tarehe 8 Juni ikiwa ni baada ya kuanza tena kusumbuliwa na mapafu; miaka ya themanini akiwa kifungoni Mandela alipata ugonjwa wa Kifua Kifuu (TB) kutokana na kazi ngumu ya kupasua mawe kama sehemu ya adhabu ya kifungo chake. Aliondoka hospitali hapo Septemba 1, 2012 baada ya familia kuomba hivyo na kuahidiwa huduma nzuri ya kitabibu nyumbani. Wakati anaondoka hospitali hali yake bado ilikuwa ya utulivu kidogo lakini isiyo na mabadiliko makubwa. Mipango ya mazishi ambayo inatarajiwa kuvuta maelfu ya watu na mamia ya viongozi wa kimataifa inatarajiwa kutangazwa punde.

WEMA KAMISS PENZI LA DIAMOND.TAZAMA PICHA ALIYOPOST NA MANENO ALIYOANDIKA.

1:51 AM
Mcheza filamu za kibongo Wema Sepetu ametuma picha ya mpenzi wake wa zaman mwanamuziki Diamond Platnamu kwenye akaunti.yake ya instagram na kuandika,

DIAMOND AFANYA REGINALD MENGI KUWA NA FURAHA SIKU YA KUZALIWA YA K-LYN, MAMA WATOTO WAKE

1:49 AM

SOMA ALICHO ANDIKA JACKSON SEKIETE BAADA YA SAUDA MKALOKOTA KUHAMIA ZENJI FM

1:47 AM
Zenji usajili mlioufanya hamjakosea hata mara moja hiki ni kiungo bora saana hapo kwenu....

JACKSON SEKIETE NIMEANZA HAWA WANAFUATA NA BADO NEWS ROOM........

DHULIMA IMEWAPONZA SASA....
Like · · · 14 hours ago ·
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates