HUZUNI: Raisi wa Zamani wa Afrika Kusini ndugu NELSON MANDELA AMEFARIKI DUNIA jana baada ya kuugua kwa muda mrefu.

11:41 PM
Raisi wa zamamni wa Afrika ya kusini bwana Nelson Mandela amefariki dunia jana jioni akiwa na miaka 95 baada ya kuugua na luzwa kwa muda mrefu hospitalini alipokuwa akipatiwa matibabu.

BIFU lazidi kutokota..!! Baby Madaha amchana tena Diamond, ni baada ya diamond kum-diss. Hii sasa imefika pabaya.

11:20 PM

Baada ya mwanamuziki wa kizazi kipya kufunguka na  kuamua kumdiss mwanadada baby Madaha a.k.a The Bad Gul kuwa hawalingani hivyo hana muda muda wa kuwa na beef na mrembo huyu wa filamu na muziki bongo, hatimaye tumeweza kumpata baby Madaha na kufanya naye EXCLUSIVE interview na mwanadada huyu kuhusu hayo mazito aliyoyasema bwana platnumz. Na kwakuwa mwaka huu ni mwaka wa kufunguka bila kuficha chochote binti huyu aliamua kuanika yake ya moyoni kama yanavyosomeka hapo chini….
Baby alianza kwa kusema
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates