WASTARA ATAHADHARISHWA KUHUSU MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE , YADAIWA MPENZI WAKE MPYA AMEKUBUHU KWA TABIA HIYO HADI WANAWAKE WANAMKIMBIA, YASEMEKANA ALIFUNDISHWA NA ANT LULU WALIPOKUWA WAPENZI

2:42 AM






Msanii nyota kwenye kiwanda cha Bongo muvi Wastara amepewa tahadhari kubwa na mshabiki wake kuhusu mpenzi wake mpya ambae ni prodyuza wa filamu aliyefahamika kwa jina la Bond Bin Sinnon kuwa amekuwa akipenda sana mapenzi kinyume na maumbile hakuna mfano.

TIKETI ZA BIRTHDAY PARTY YA DJ ZORO ZINAPATIKANA YOUNG TOZZ CLASSIC FASHION MICHENZANI MAKONTENA

2:34 AM
Well come kushelekea happy birthday party in sun set usafiri utakuwepo tiketi zinapatikana #YOUNG_TOZZ_CLASSIC_FASHION piga Simu 0712084660 Or 0658775755 kwa maelezo zaidi

Mkali huyu kala shavu kurekodi nyimbo ya Coca-Cola’s 2014 FIFA World Cup

2:23 AM
CORREY
Kwa wale wapenzi wa burudani, hasa kwenye upande wa kandanda huwa wanaburudika sana pale ladha ya mchezo huo unapoambatana na “tune” nzuri za muziki ambazo mdhamini mkuu wa Kombe la Dunia, Coca Cola huandaa…Zikiwa zimebakia siku chache kufikia ufunguzi rasmi wa mashindano ya kombe la dunia

HAYA NDIO MAJIBU KUHUSU ZILE PICHA ZA SNURA NA MRISHO NGAZA ZILIZOSAMBAA

2:18 AM
Snura na Ngassa 1Ni picha ambazo zimekua zikizungumziwa kwenye mitandao ya kijamii na hata kwenye mitandao mingine ya habari nchini Tanzania zikimwonyesha mchezaji wa Yanga Mrisho Ngassa akiwa mapenzini na mwimbaji Snura wa bongofleva.

HAYA NDIO MAZITO WALIYOPOST MSIGWA NA JOSEPH MBILINYI(SUGU) KWA KINACHOENDELEA CHADEMA

2:15 AM


Chadema 1Kutoka kwenye facebook page za Mbunge Peter Msigwa wa Iringa mjini 92.9 na Joseph Mbilinyi wa Mbeya mjini 87.8.

MWANAMUZIKI DIAMOND PLATNUMZ BAADA YA KUTANGAZA AJIRA SASA AMTANGAZA DEMU ANAYEMPENDA, CHEKI HAPA

2:12 AM


UKIFIKA katika mtaa anaoishi mwanamuziki Diamond maeneo ya Sinza Mori jijini Dar es Salaam utaanza kuhisi kuwa kuna staa anayeishi maeneo hayo, macho ya wengi huanza kumtazama mtu anayeelekea katika geti la nyumba anayoishi msanii huyo. (HM)
Muda wote geti hilo limefungwa. Ili uweze kuingia ndani itakulazimu ubonyeze kengele itakayoashiria kuwa kuna mgeni nje anahitaji kuingia ndani. Hata hivyo hauwezi kupenya kirahisi ndani hadi uulizwe shida yako na kama hauna miadi na mtu yeyote anayeishi ndani ya nyumba hiyo haitakuwa rahisi kuingia.
Mwanaspoti lilitinga katika nyumba ya msanii huyo

HAKUNA MATATA BAND WAKIFANYA YAO JANA PALE GYMKHANA CLUB KW KIMTI

1:57 AM





 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates