NEW TRACK- JOBFIRE WA MELODY FT SPINCE SESEME - SINA TIME

3:09 AM

FURSA....! FURSA....! FURSA....! FURSA.....!

3:06 AM
Studio ya ‪#‎UPRISE_MUSIC‬ Inaatoa nafasi kwa wasanii wa kike toka kisiwani zanzibar
ku Records nyimbo moja bure kwenye studio hiyo unachotakiwa kufanya ni kutuma nyimbo yako kamili Au Demo kwenye email Zifuatazo

HII KALI KWA DIAMOND PLATNUMZ!!! AAMUA KUJIITA 'DOMO' INSTAGRAM...CHEKI HAPA

2:27 AM


Diamond Platnumz aka Prezident wa WCB ametoa kali na mpya kwa kuamua kujiita 'DoMo' kupitia ukurasa wake wa Instagram kama unavyo ona hapo chini. Yawezekana amefikia hatua hiyo baada ya watu wengi kumkashifu mara nyingi sababu ya mdomo wake. 




 

Kwangu mimi sioni tatizo maana ndivyo alivyo umbwa na je alikuwa anauliza wakuandika hivyo kweli? Au ndo kutupa cha kuongela? All in all he rocks big time being one of the most successful artists in East Africa pamoja na 'DoMo'

ONYINYE APATIKANA BONGO APEWA PETE YA BEI MBAYA NA P-SQUARE

1:54 AM

Mrembo aliyechunukiwa na Peter akiwa jukwaani baada ya kuitwa na kujitokeza
....akinyoosha mkono
...akivishwa saa ya bei mbaya na Peter, ambaye alisema ameoa Nigeria wiki iliyopita na Bongo anaoa pia.....

HUYU NDIO MSANII WA TANZANIA ALIE PATA FOLLOWS YA PRESDENT BARAK OBAMA

1:48 AM

VANESSA MDEE

JAY DEE AJIBU USHAURI WA JANUARY MAKAMBA

1:32 AM


"Micheal Jackson Aliathiriwa na Madawa, Ilinibidi Nishikilie Uume Wake Kila Usiku Ili Nimvalishe Condom"- Dr Conrad Murray Aelezea Siri Nzito

1:26 AM
Dr. Conrad Murray & Michael Jackson
Kwenye mahojiano yake ya kwanza mara baada ya kuachiwa toka gerezani kwa kuhusishwa na kifo cha nguli wa muziki wa pop duniani Michael Jackson, Dokta Conrad Murray alielezea kwenye mahojiano aliyofanya na The Mail kwamba, Michael hakuwa baba wa hata mtoto wake mmoja, aliathiriwa na madawa kiasi cha kufikia hatua ya kuhitajika kuwa anavaa condom sababu mkojo ulikuwa unatoka wenyewe kwenye uume wake.

PICTURES ZA MATUKIO BIRTHDAY YA BOMBA FM ZANZIBAR 2013

1:24 AM

NIKKI MBISHI KUACHIA VIDEO YA NGOMA YAKE PESA KWANZA

12:44 AM

kama ulikosa hii Diamond Platnumz & HHP - BTM, Coke Studio Africa, Season Episode 2 icheck hapa

12:18 AM

WABONGO NOOOMA...!!! CHEKI WALIVYOCHANGANYA WIMBO WA DIAMOND NA VIPANDE VYA MOVIE YA VICHEKESHO YA MZEE MAJUTO...! UTAFIKIRI NDIO VIDEO YA WIMBO...!

12:12 AM
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates