VIDEO - Colonel Mustafa ft Qritiqal-Kupe (Official video)

11:25 PM

(Official lyric video) Colonel Mustafa - Lenga stress

11:19 PM

Picha ya Kwanza ya Peter Okoye Akimzungumzia Mke Wake

11:10 PM
Lola Omotayo
Hivi karibuni mmoja kati ya wanamuziki wanaounda kundi la P Square Peter Okoye alifunga ndoa na mwanadada Lola, na kupitia ukurasa wake wa Instagram jamaa huyo aliamua kuweka picha nzuri ya mke wake.

Nimekolea kwa Aliyekuwa Demu wa Rafiki Yangu. Je Nifanyeje?

11:02 PM
Nimejikuta nipo kwenye mapenzi na aliyekuwa demu wa rafiki yangu. Rafiki yangu na huyu demu walikuwa kwenye mahusiano katika kipindi cha mwaka mmoja ila wakaja achana.

Somo la Oxford: Wanawake Wenye Makalio Makubwa Wana Akili Zaidi [UCHUNGUZI]

10:53 PM

Kwa mujibu wa uchunguzi wa somo moja la Chuo cha Oxford University, ambao hivi karibuni umekuwa ukizungumziwa kwenye habari, kwamba "wanawake wenye makalio makubwa huwa wana akili."

Babu Seya na Mwanaye Papii Kocha Kuendelea Kutumikia Kifungo cha Maisha, Rufaa Yao Yatupiliwa Mbali

10:52 PM

Papii na Babu Seya
Hukumu ya rufaa ya mwanamuziki Nguza Viking na mwanaye Nguza Johnson 'Papii Kocha' imewarejesha tena jela kuendelea kutumikia kifungo cha maisha mara baada ya hoja za serikali kiushahidi kuzishinda zile za upande wa utetezi.

Nchi Zilizopata Nafasi ya Kushiriki Kombe la Dunia Nchini Brazil Mwakani

10:48 PM

Afrika: Algeria, Cameroon, Ghana, Ivory Coast, Nigeria

MAKALA NA EDO KUMWEMBE

3:40 AM
NA EDO KUMWEMBE
WAKATI mwingine hakuna unachoweza kufanya zaidi ya kucheka. Hata kama haucheki usoni. Unacheka moyoni na kujiuliza, ni namna gani Kigogo anayehusika na wizi wa Meno wa Tembo anavyokandia uwezo wa Mrisho Ngassa.
Ndio, unakutana na Mbunge Kigogo. Jina lake linatajwa katika wizi wa Meno ya Tembo. Anakwambia “Hivi Edo unataka kuniambia niache kushangilia Manchester nije kutazama Taifa Stars. Hatujui mpira sisi Watanzania”. Moyoni namjibu, kweli hatujui mpira, lakini kulinda Rasilimali zetu kama Meno ya Tembo unayoiba ndio tumeweza?

Peter Msechu Amediss Kazi Ya Ney Wa Mitego,Soma Alichoandika Hapa Na Jibu La Ney. wa mitego

3:35 AM
Msanii wa bongo fleva aliyewakilisha Tanzania kwenye mashindano ya vipaji nchini Kenya 'Project Fame' amesema haya kuhusu kazi mpya ya Ney Wa Mitego Na Ney akamjibu.

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates