MREMBO aliyetajwa kwa jina moja la Ema aliyedai kuwa ni mchumba wa
jamaa aliyemtaja kwa jina la Amri au Mdudu amefumaniwa laivu akisaliti
penzi na mwanaume mwingine.
Tukio hilo la aina yake lilijiri kwenye Makaburi ya Buguruni, Dar, mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya kuwekewa mtego.
Tukio hilo la aina yake lilijiri kwenye Makaburi ya Buguruni, Dar, mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya kuwekewa mtego.