BAADA YA KUANDAMWA NA SKENDO NYINGI NA KUA KIMYA,AGNESS MASOGANGE ATUPIA PICHA ZA UTUPU MTANDAONI

1:10 AM
SIKU chache baada ya kutoka lupango kwa msala wa madawa ya kulevya, ‘video queen grade one’ Bongo, Agnes Gerald ‘Masogange’ ametupia picha za utupu mtandaoni.

 
Agnes Gerald ‘Masogange’ katika pozi.
Masogange na mwenzake, Melisa Edward walikamatwa nchini Afrika Kusini Julai 5, mwaka

NEW VIDEO - TREEP M FT LAKI - KAWA (Officiall Video)

1:01 AM

Pictures Na Info,Berry Black Ndani Ya C 9 Records.

12:56 AM

Baada ya kutoa wimbo na video ya hit yake mpya Ft Ally Kiba iliyoitwa Ishara Zangu, Berry Black Yupo Tayari kutoa na kufanya kazi zingine. 

Berry amefanya interview na chiwileinc na kusema baada ya ukimya wa muda mrefu sasa ni wakati wa kazi baada ya kazi. Atatoa nyimbo kila baada ya muda mfupi. Ameanza kazi na C 9 na pia ata fanya kazi na producer wengine. Kwa sasa anamalizia wimbo wake aliomshirikisha Star wa Kinyulinyuli Sameer. Wimbo utaitwa Simchezei.

Huyu Ndio Msanii Atakaye Toka Kupitia Mikono Ya D'Banj

12:33 AM
Msanii kutoka Nigeria anaye simamiwa na Kanye West kupitia Good Music D'Banj amewahi kusema kuwa anampango wa kuanza kutoa vipaji vipya nchini Nigeria na akipata msanii anaye mkubali atamsaidia.

Drake Amzungumzia Baba Yake Na Anahusika Vipi Kwenye Muziki Na Album Yake Mpya.

12:30 AM


Rapper Drake amesema maisha anayoishi sasa ni ndoto ya baba yake mzazi . Drake amefunguka kuwa Baba yake alikuwa na ndoto ya kuwa msanii mkubwa mwenye pesa nyingi ila ndoto yake haikutimia na kwa mapenzi ya Mungu Drake sasa ndio anaishi ndoto ya baba yake.  

VIDEO- CINDY RULZ FT. CHIDI BWAY - UTANIFANYA NIGHAIRI

12:08 AM
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates