ii ni Shule ya Kwanza Duniani Inayotoa Mafunzo ya Ngono, Ada Yake ni £1,400 Kwa Temu (MUHIMU ISOME)

12:19 AM
Hii ni shule ya kwanza inayotambulika rasmi Duniani kwa kutoa mafunzo ya ngono, ikifunza aina za mitindo ya kufanya ngono na namna ya kumuhudumia mwenza kwa mbinu mbalimbali.

Picha ya P-Square Wakiwa Kwenye Nyumba Iliyonakshiwa Dhahabu Yazua Hasira kwa Watu

12:14 AM

Nchini Nigeria watu wengi wamekasirishwa na tabia za baadhi ya wanasiasa ya kufuja mali na pesa za umma kwa mambo ya kidunia ambayo hupita tu, na hii ni mara baada ya kuziona picha za nyota wa R&B toka nchini humo Peter na Paul Okoye wakiwa kwenye nyumba iliyonakshiwa dhahabu inayoaminika kuwa ni ya mmoja kati ya viongozi wa Serikali ya nchi hiyo ambayo ipo kwenye Jimbo la River. 

Peter Okoye aliweka picha zake na za kaka yake kwenye mitandao ya kijamii, picha zilizomuonyesha akiwa amekaa kwenye nyumba ya kifahari mara baada ya kutoka kushiriki kwenye mazishi ya mama wa Patience Jonathan yaliyofanyika ndani ya Okrika, Jimbo la Rivers.



Ameniacha na Kumfata Mwanamke Mwengine Mpya; Nifanyeje Aweze Kunirudishia Pesa Nilizomkopesha...?

12:12 AM
Mwanamke huyu alikuwa akimpa hela mpenzi wake akitegemea kuwa angekuja kumuoa, ila mambo yakawa ndivyo sivyo....

HII NDIO STORI KAMILI

Mlinzi wa Rihanna Ashika Titi la Bosi Wake Hadharani

12:09 AM
Mmoja kati ya walinzi wa Rihanna katika hali ya kutaka kumkinga bosi wake alijikuta ameshika moja ya titi la bosi wake hivi karibuni. Alikuwa anajaribu kumlinda, ila kimtindo ilionekana kama sio.

Cheki picha hapo chini... 

Barrack Obama: Mimi ni Hodari kwa Kuuwa Watu

12:08 AM

Rais wa Marekani Barack Obama amejisema kuwa yeye ni "hodari sana kwa kuuwa watu," hii ni kwa mujibu wa kitabu kipya kinachohusu kampeni za Urais wa mwaka 2012 kinachoitwa Double Down: Game Change 2012, ambacho kinategemea kutoka siku ya Jumanne (Kesho),.

Kauli hiyo imekuja katika kipindi ambacho, Obama, ambaye alishinda Nobel Peace Prize mnamo mwaka 2009, amekumbana na pingamizo kubwa kwa mbinu zake za kutumia ndege zisizokuwa na rubani kwa ajili kukabiliana na magaidi, mbinu ambazo amekuwa akizitumia ikushambulia nchi za Pakistan na Yemen.

Gazeti la Washington Post limeeleza, wakati Obama alipokuwa akizungumza juu ya mipango ya matumizi ya ndege zisizo na rubani ndipo aliposema kwamba yeye ni "hodari sana wa kuuwa watu."

Licha ya hivyo, mshauri wa Obama Dan Pfeiffer alisema kwamba "Rais huchukizwa na uvujaji wa mambo. Sijaongea naye kuhusu kitabu hiki. Sijakisoma. Hata yeye hajakisoma. Ila hapendi kuvuja kwa mambo."

Mamlaka moja ya Uchunguzi iliyopo London imekadiria kwamba Obama aliidhinisha kufanyika kwa mashambulio 326 kwa kutumia ndege hizo.

Toka mwaka 2004, ndege hizo za CIA uzimeuwa watu kati ya 2,500 mpaka 3,600 wakiwemo watu 950 wasio na hatia.
Rais Obama, ambaye alishinda Nobel Peace Prize mnamo mwaka 2009, inakadiliwa kuwa aliagiza kufanyika kwa zaidi ya mashambulizi 325 kwa watu waliodhaniwa kuwa ni magaidi na waaasi.

Obama alipewa Tuzo ya Amani mwaka 2009, katika kipindi ambacho alikuwa hajafikisha mwaka toka achaguliwe kuwa Rais, na alipewa tuzo hiyo kutokana na dhamira yake yakupinga matumizi ya nyukilia.


Mashambulizi ya mauwaji yanayofanywa na ndege za MQ-1 Predator pamoja na nyingine zisizoendeshwa na watu yamekuwa yakiongezeka hasa katika kipindi cha utawala wa Obama, na yeye amekuwa akisimamia na kutetea matumizi ya mbinu hizo.

Kuweka Picha na Video Kwenye Facebook Kunaweza Kukufikisha Jela - United Arab Emirates

12:04 AM
Kuweka picha au video za mtu kwenye mitandao bila ruhusa ya yake ni kosa unaloweza kutozwa faini au kwenda jela kwa miezi sita, Wizara ya Mambo ya Ndani United Arab Emirates imeonya.

Mcheki Mchungaji Akigusa Sehemu nyeti za Binti Huyu Kwenye Maombi

12:01 AM
Hii ni nini sasa, ndio maombi ama? Je au ndio kusema kuna kitu ambacho hakipo sawa kwa huyu mwanamke aliyelala chini, au ni juu ya sehemu zake nyeti?
 

Ukiangalia kwa makini, na kama una macho yanayoona vyema, utagundua kwamba jamaa aliyesimama kushoto mwa mchungaji aliyechuchumaa utagundua kuwa anaonekana kuwa ameanza kupata STIMU...
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates