IVI NDIVYO JENGO LA ZANZIBAR MEDIA CORPORATION LTD WAMILIKI WA ZENJI FM RADIO & ZENJI TV LITAKAVYO KUA BAADA YA KUKAMILIKA

11:16 AM

Soma Issue ya Dida Kupewa Mimba na Huyu Jamaa Yake

10:53 AM
MTANGAZAJI wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani wa Redio  yaTimes, Khadija Shaibu ‘Dida’ hivi karibuni amefungukia madai ya kwamba ana mimba ya mumewe wa sasa, Edzen  Jumanne na kwamba mfumo wake wa kimaisha hasa kwenye ulaji umebadilika.

  Khadija Shaibu ‘Dida’ Katika picha kapakatwa.
Juzikati, chanzo ambacho ni rafiki wa Dida kilichoomba hifadhi ya jina lake kilisema: “Unajua mwanamke mwenye mimba hajifichi, Dida atakuwa kishapachikwa, nyie fuatilieni.”
 

Interview Na Producer Castro Baada Ya Miaka 10 Jela, Iko Hapa

10:44 AM



Producer Castro [Castrol Ponella ] ametoka Jela miezi 5 iliyopita na leo nilipata nafasi ya kuzungumza nae kuhusu muziki na maisha yake kwa sasa. Ametoka 27 May 2013.

Ni producer aliyewahi kufanya kazi na rapper Queen Doren wa da Skendo, Mac 2 B, Fid q, Big Jahman, Spider na Akili The Brain.

huu ndio manara utakao jengwa maeneo ya kisonge michenzani mjini zanzibar Mnara wa Miaka 50 ya Mapinduzi Kujengwa. Kugharimu Bilioni Moja, Kumalizikla Januari

10:40 AM

SMILE WA KICHEF CHEF KUKINUKISHA USIKU WA BASHASHA WA BOB JUNIOR & VANESSA MDEE NDANI YA CLUB BILLCANAS

2:08 AM

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates