MJADALA - ANNA MUHIMILI AKATAA KWA VITENDO KUINGILIWA KINYUME na MAUMBILE NA MWANAUME WAKE CHECK VIDEO CHINI

9:01 AM

CANNAVARO, AGGREY MORRIS WATEMWA ZANZIBAR, KUKOSA CHALENJI MWAKA HUU

KIKOSI cha wachezaji 30 cha timu ya taifa ya Zanzibar kimetangazwa na kocha mkuu wa timu hiyo Salum Bahusi bila ya jina la nahodha wa Yanga, Nadir Haroub Cannavaro na Aggrey Morris wa Azam FC.

CHECK PICTURES DIAMOND AKIWA CHINA

8:51 AM
Ha ha ha!mjasiri anaachaga asili basi...!!!!

DIAMOND AMSHUKURU VIDEO MODEL WA KAMWAMBIE

8:45 AM

Kitu ambacho siku zote siwezi kukisahau katika
harakati na siku za Maisha yangu ni jinsi dada
 wa kwanza nilivyomfata na kumuomba kushoot video na mimi
akasema "Siwezi kushoot Video na Ma undergeound" Dah! Iliniuma saaana... Lakini
 wewe kwa moyo mmoja bila maringo uliamua kunisaidia
 na kukubali kushoot video na mimi na
 hatimaye ikaniweka kwenye Ramani... dah! siku zote huwa
nakushkuru na kukuombea sana
 kwa mwenyezi mungu kwani naamini wewe ni
 mmoja ya watu waliofanya hadi mimi kufika hapa... MyVideo Queen Nenda Kamwambie #BestSongofTheYear2009  BestRnBSongof TheYear2009

NEW TRACK - ABBY MAN FT RIGHT STAR - MI NI ZAID YAO

2:37 AM

NEW TRACK - DARMA FT JAKAYA - MALIPO CHINI YA JUA

2:31 AM

NEW TRACK - TIBA - DANCE

2:24 AM

Kitendo Kilicho Tafsiriwa Kama Kumkosea Mungu Kilicho Fanywa Na Kanye West Wakati Akiimba Jesus Walks

2:19 AM
Kanye West kicked off his 'Yeezus' tour in Seattle, on Saturday October 19th and before his performance of his College Dropout hit song, Jesus Walks, a man dressed as Jesus walked on stage and Kanye jokingly asked "White Jesus, is that you?… Oh, shit!,". Later, Kanye and his female back-up dancers bowed to the Jesus look-alike as he stood on the mountain top. - See more at: http://www.africanewspost.com/2013/10/kanye-west-brings-jesus-lookalike-on.html#sthash.gcaOAcyy.dpuf

Kanye West alianza show yake vizuri kabisa ila ilipofika wakati wa kuimba wimbo wake kutika kwenye album ya College Dropout inayoitwa Jesus Walks alitokea mtu aliye vaa kama Yesu  na Kanye West ambaye alikuwa na msaidizi wake wa kike kwenye kuimba wali inama na mbele ya Mtu Huyu na ndio wimbo ukaanza wa Jesus Walks.
 
CHECK VIDEO HAPA CHINI

AUDIO -sikiliza interview Sweet star akiongelea video yake na kampuni aliyo fanyia kazi

2:13 AM

msikilize hapa

AUDIO -Sikiliza interview 4teen akiongelea sababu ya ukimya wake na project zake mpya chini ya studio ya Mandev records

2:04 AM

CHECK PICHA ZA SHOW YA SAMIR JANA PALE GOLF CLUB MAISARA

1:42 AM

BARUA: Mke wa Boyfriend Wangu ni Bosi Wangu Mpya, Nifanyeje...?

1:26 AM
Wapendwa Wasomaji....

Nimechanganyikiwa, kwa maana hivi karibuni nimetoka kupata kazi na nimekuja kugundua kwamba bosi wangu ni mke wa boyfriend wangu.

''Nililipwa $2500 USD Ili Nimuuwe 2Pac'' - Dexter Isaac | Habari Kamili

1:19 AM

Mtu mmoja ambaye kwa sasa anatumikia kifungo cha maisha pamoja na miaka mingine 30 ya mauwaji na uporaji, anayeitwa Dexter Isaac amesema yeye ndiye aliyehusika kumpiga risasi Tupac Shakur kwenye Quad Studios ndani ya Manhattan mnamo mwezi November 1994, huku akiongeza na kusemea kuwa pia alihusika kwa cheni ya iliyosababisha mauwaji ya wote wawili yaani Shakur na Notorious B.I.G., ambaye mwanzoni ndiye aliyetuhumiwa moja kwa moja na njama za kifo cha Tupac.

HAPPY BIRTHDAY DIDAH

1:07 AM

new music video coming soon .... from director Khalfani Bamushka get ready

1:00 AM
new music video coming soon .... from director Khalfani Bamushka get ready

VIDEO: mabao yote sita yaliyoingia kimiani katika mechi baina ya Simba na Yanga hapo jana

12:53 AM
MABAO MA 3 YA YANGA HAYA HAPA
 MABAO MA 3 SIMBA PIA YAKO HAPA CHINI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

Taarifa kwa Umma

Asiye Raia wa Tanzania ni nani?

HAWA JAMAA NINOMA SANA WAMCHEKESHA RAISI KENYATTA HADI KUTOA MACHOZI CHEKI VIDEO HAPO CHINI

12:27 AM

Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates