RIPOTI YAMAUWAJI YA WESTGET HUKO NCHINI KENYA...WALICHOKIFANYA WANAJESHI WA KENYA HAKIFAI HATA KUSIMULIA... CHEKI VIDEO CLIP HII HAPA UJIONEE MWENYEWE

11:55 PM
Zimekuwa ni siku nyingi za kubashiri kuhusu kilichojiri wakati wakenya walipotekwa nyara na magaidi kwa siku nne mtawalia. Wakenya zaidi ya sitini walipoteza maisha yao katika jumba la Westgate lakini hadi sasa Wakenya hawajajua ukweli kuhusu yaliyojiri katika jumba la Westgate. - Je ni kweli kuna

Mkasi - SO7E03 With Lulu

11:21 PM

Rapper D Knob Kutoka Tanzania Amefungua Mtandao Wa Biashara, Fuatilia Hapa

10:54 PM
 
Old time rapper kutoka Tanzania D Knob amefungua mtandao unaojulikana kama www.mitaanimostwanted.co.tz utakao jihusisha na Usimamizi wa biashara tofauti na mambo ya burudani. Mtandao huu utakuwa na kazi ya kuanda projects za biashara na mambo ya huduma tofauti mitaani. Kwa sasa mtandao huu unafanya kazi bega kwa bega na project ya Marco Chali Foundation kupitia Epic Open Mic.

Picha, Dar Next Handsome, Mashindano Ya Vijana Watanashati Dar Es Salaam

10:39 PM
Dar Next Handsome ni Mashindano Ya Vijana Watanashati zaidi Dar Es Salaam na Mshindi anakwenda Lagos Nigeria kushindana Kwenye Mr Africa. Vijana hawa sita walikuja Fnl kuzungumzia Mashindano Haya.

VIDEO - AZMA _ WANASUBIRI NIFE (Official Music Video HD )

10:22 PM
DOWNOLOAD AUDIO HAPA
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates