BLACK AND WHITE PARTY..........!!!!!!!!

12:03 PM
J- moss tukutane Zanzibar Beach Resort ukiwa umetinga black or white party ratiba iko hivi utalipia dollar 50 mbayo itakuwesha kupata wellcome drink,dinner and afte party its my time djzoro wellcome all people

Rapper Cam'ron Asema Jay Z Anamchukia Na Nyimbo Zao Hazichezwi Kwenye Club Zake.Fuatilia Hapa

3:27 AM
Rapper Cam'ron wa kundi la Dipset amesema hajawahi kufikiria mashairi ya Jay Z kwenye wimbo wa  "Pound Cake" yata hatarisha mahusiano yake na Jay Z ila ana amini kuwa kazi aliyopewa ya makamu wa rais kwenye kampuni ya Dame Dash ndio imefanya Jay Z kutoelewana nae. 

Kwenye “Pound Cake” Jay z anasema “I've done made more millionaires than the lotto did / Dame made millions, Biggs made millions / Ye made millions, Just made millions / Lyor made millions, Cam made millions.”
Rapper Cam’ron amefunguka haya kwenye interview wakati anazungumzia project yake mpya ya Ghetto Heaven Vol 1 nakusema kuwa mpaka sasa muziki wa kundi la Dipset umepigwa marufuku kwenye club zote za Jay Z na rapper huyo anamchukia sana Cam'rom bila sababu.

Fahamu Kuwa Jay z na Cam wanatoke mitaa ya New York wote wana heshima kubwa mitaani 'Street Credibility'

DEMU ANATINGISHA MAKALIO HADI JAMAA KADATA

3:20 AM

Diss Nyingine Ya 50 Cent Kutoka Kwa Rapper Game.

2:58 AM
 
Diss nyingine kutoka kwa rapper Game kwa 50 Cent na this time inahusu kurudi G Unit. Rapper Game amelianzisha tena na hasimu mwenzake 50 Cent kwa kumtaja yeye na kundi lake la G Unit kwenye wimbo wa 'Hollywood' Ambao upo kwenye mixtape yake mpya ya "OKE". Joint hii Imetoka October 11 na kashirikishwa rapper Scarface.Kwenye wimbo Game anasema “Hub City thugs wit me, buck 50,”  “Reunite with G-Unit, bitch fuck 50”

Mtoto Wa Mh Temba 'laMelyvin' Kazaliwa 10/October/2013. #Hongera

2:53 AM

Master Jay Kasikiliza Mixtape Ya Nikki Mbishi.

2:42 AM
Fid q alishawahi kuniambia kuwa kwenye wimbo moja wa Nikki Mbishi unaweza kupata nyimbo kumi za rap hapa bongo, Ni msanii mwenye uwezo mkubwa wa kuandika na kufanya good hiphop. Mixtape yake mpya imetoka na tayari produce mkubwa Tanzania ameisikiliza na kutoa comment yake. "Loving this kids talent"

VIDEO - LUCCI - SUMU (Official Music Video)

2:38 AM
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates