MAAJABU YA DUNIA HAYA: HEBU ONA PICHA 16 ZA VIKARAGOSI VYENYE MUONEKANO WA VIUNGO VYA BINADAMU VILIVYO KAMATWA HUKO KENYA VINADAIWA KUTUMIKA KWENYE DINI YA KISHETANI... CHEKI HAPA

1:47 PM
WENGI walioipata hii taarifa wanashangaa imekuaje ni viungo tu vya binadamu vimepatikana kwenye kontena zima vikiwa vinaingizwa Kenya? vinakwenda wapi? kazi yake ni nini?

Taarifa iliyoripotiwa na Citizen TV Kenya inasema Shehena hii iliyokamatwa baada ya kupitishwa kwenye bandari ya Mombasa inasemekana imesafirishwa na Mwanasiasa maarufu ambae kabla ya kukamatwa alisema ilikua na bidhaa za nyumbani ambapo ilipofika kwenye kituo cha ukaguzi wa mashehena cha Changamwe ilipatikana na vikaragosi vya mafuvu na mifupa ya binadamu ndipo amri ikatoka kontena 
likamatwe.

HII NDIO GARI YA RICH MAVOKO

1:44 PM


xclusive video - MwanaFA & AY feat J Martins - Bila Kukunja Goti ( Official Video )

Picha, Jumba Lenye Thamani Kubwa Zaidi Lenye Vitu Vya Bei Kubwa Sana Nchini Nigeria Ndio Hili.

1:14 PM
 Ina sebule zaidi ya mbili, Vyumba kibao vya kulala, Bwawa la kuogelea ndani na nje ya nyumba. Gereje mbili tofauti za kuegesha magari na Tv kwenye sakafu.



MC LYTE ATOA SOMO KWA WASANII WA KIKE

1:12 PM
20080818-lyte
Rapa mwanamke wa muda mrefu nchini Marekani MC Lyte ameguswa na namna ambavyo kazi yake imeenziwa na wadau wa muziki nchini humo.
MC alisema hayo katika hafla ya utoaji wa tuzo za BET ambapo alipewa tuzo ya kutambua mchango wake kwenye muziki wa Hip Hop.
Mwanamuziki huyo ambaye aliwahi kutamba zaidi miaka ya 1994 na 1995 hasa kwa kibao chake Keep on na You Have to Party aliwataka wasanii wanawake hasa wanaoimba muziki wa Hip Hop kutokata tamaa

INI EDO USO KWA USO NA AMBER ROSE

1:05 PM
Ini-Edo-1
Kwa wale waliofuatilia shindano la Miss Earth lililofanyika mwishoni mwa wiki nchini Nigeria, mwanadada Ini Edo ameonekana kivingine na kuwa mwenye mvuto wa kipekee.
Mwishoni mwa wiki Ini Edo alikuwa miongoni mwa majaji wa shindano hilo akishirikiana na na wenzake pamoja na mwanamitindo Amber Rose.
Wawili hao walionekana kuwa na mazungumzo ya hapa na pale na wafwatiriaji wa mambo hawatoshangaa kuona Ini alikwea pia na kwenda nchini Marekani kwa ajili ya kumfuata Amber

Baada Ya Bamboo Kutangaza Kaokoka, Abbas Kubaffu Amchana Na Huu Ujumbe.

1:03 PM

Katika hali isiyo ya kawaida, rapa Abbas Kubaff ambaye ni mchizi wa karibu sana wa Bamboo katika game ya muziki Kenya, ametoa maoni yake ambayo yamekuwa ni tofauti sana kuhusu hatua ya Bamboo kutangaza

DIAMOND PLATNUMZ AFICHUA SIRI KUHUSIANA NA PICHA ZINAZOENDELEA MTANDAONI .NA HIKI NDICHO ALICHOKISEMA

12:58 PM
di 2
Kumekuwa na picha mbali mbali zikimuonyesha diamond Platnumz akiwa na Wema Sepetu. Picha hizi zimekuwa gumzo kwa watu wengi na mpaka wengine kusema kuwa wapenzi hawa wawili wamerudiana . Lakini Diamond afunguka nakuelezea kwenye akaunti yake ya facebook juu ya kinachoendelea juu yake yeye na Wema Sepetu. Tazama hapo.
diamond

Baada ya Irene Uwoya kuweka kituko cha aina yake jana, soma hiki kingine tulichokipata leo

12:56 PM

Baada ya Irene Uwoya kuweka kituko cha aina yake jana, soma hiki kingine tulichokipata leo
Jana mwanadada Irene Uwoya aliwavunja mbavu wadau mbalimbali wa filamu nchini baada ya kuweka picha (Inayoonekana pichani)  ya moja ya scenes za filamu yake mpya ambayo bado hatujapata jina lake ikumuonesha jambazi  (aliyepewa jina la “JAMBAZI MSTAARABU” na fans wa filamu )akimtishia Irene Uwoya bastola kama anataka

Daaah! Kweli Dunia hadaa!!! Yanayosemwa huko nyuma ya pazia kuhusu DIAMOND, WEMA na PENNY unaweza usipende tena!

12:50 PM

Daaah! Kweli Dunia hadaa!!! Yanayosemwa huko nyuma ya pazia kuhusu DIAMOND, WEMA na PENNY unaweza usipende tena!
Haya ni baadhi ya maneno mapya yaliyoanza kuibuka kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii na isiyo ya kijamii nchini kufuatia kuzagaa kwa picha za "kimahaba" kati ya mwanamuziki Diamond Platnumz na mwanadada wa bongo movies Wema Sepetu kuwa wawili hawa wamerudia tena penzi lao la zamani.
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates