SURPRISEEEE!!!!!!! Wema Sepetu na Diamond Platnum Wamerudiana Rasmi,Check Hizi Hapa Picha Zao walivyokutana Huko Malaysia.Ni Mwendo wa Kiss Hug...

11:23 AM
Baada ya habari kuenea kuwa Diamond PLatnumz amerudiana na Wema walipokuwa Malaysia katika moja ya show zake na Platnumz kukanusha habari hiyo kupitia website yake, hatimaye BK imepata picha nyingi za Diamond na C.E.O wa Endless Fame Wema Sepetu wakiwa kwenye pozi tofauti tofauti za kimahaba nchini humo.

BREAKING NEWS…!!! DIAMOND NA WEMA PAMOJA
           

Baadhi ya picha hizo, moja inawaonesha Diamond na Wema wakiwa wamevaa Mapajama (nguo za kulalia) sehemu kama hotelini hivi na nyingine ikimuonesha Diamond akim-kiss Wema wakiwa kitaa. Lakini Diamond ni real boyfriend wa Penny…

Njemba moja ambayo haijajulikana kwa jina ,wikiend iliyopita alijikuta akipiga pu**eto live wakati snura akishurt video ya nimevurugwa

11:21 AM
njemba moja ambayo haijajulikana kwa jina ,wikiend iliyopita alijikuta akipiga pu**eto live mbele ya wenzake na umati wa watu, pale mwanadada Snura alipokuwa akishut video yake ya

Huddah ambaye ni mke mwenza wa diva wa clouds fm aendelea kuwashangaza mafans wake kwa kuachia picha za utupu bila aibu

11:13 AM

Huddah ambaye ni mke mwenza wa diva wa clouds fm aendelea kuwashangaza mafans wake kwa kuachia picha za utupu bila aibu... na hata apondwe vipi huyu dada bado anaendelea ...Kibongo bongo tunamfananisha na "FLORA LYMO"  ambaye ni mwna mama mtu mzima ambaye nae anachia series za nusu utupu , Ingawa  Mafans wake na watanzania kwa ujumla wanamkea haache lakini bado yumo.

NIOMBEENI UZIMA TU BAADA YA KUTAJA MSHARA MZIMA WA WAZIRI MKUU NEXT TIME NATAJA WA RAIS WA NCHI!

11:00 AM
HATIMAYE Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zitto Kabwe, ameweka wazi mshahara wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.
Zitto ameutaja mshahara huo wa Pinda anayejitambulisha kama ‘mtoto wa mkulima’ juzi mjini Mpanda na jana wilayani Sikonge wakati akihutubia mikutano ya hadhara katika ziara ya Kanda ya Magharibi kwa ajili ya ujenzi wa chama.

Picha, Hasheem Thabeet Chillin With Robin Van Persie

10:56 AM

Msanii Shaa Atia Saini Mkatamba Mpya Na Saidi Fella. Fuatilia Hapa

10:49 AM

Msanii wa kike kutoka Tanzania mwenye uwezo mkubwa wa kufanya muziki  wowote 'Shaa' ametia wino kwenye mkataba wa miezi sita na Saidi Fella kupitia Mkubwa Na Wanawe. Saidi Fella amesema leo kupitia sammisago.com kuwa mkataba huu ni wa muda mfupi na watafanya kazi tofauti na Shaa sababu anauwezo mkubwa wa kuimba na kufundisha muziki.

TAZAMA PICHA ZA GARI LA SH. MILIONI 805 LINALOMILIKIWA NA MTOTO WA BAKHRESA AMBALO LIMEKUJA KWA ODA MAALUM..!!

10:47 AM
                             Gari aina ya Brabus ambayo inayomilikiwa na mmiliki wa klabu ya 

Unabaki Na Neno 'Married' Kwenye Kidole Baada Ya Kuva Hii Pete Ya Pekee, Picha Iko Hapa

10:40 AM

Pictures- Kinyozi Maarufu Anaye Nyoa Nywele Za Mastaa Wa Soka Nchini England, Yupo Bale, Rooney, Na Wengine

10:38 AM
 Daniel amekuwa kinyozi wa Bale toka siku ya kwanza ameanza kuichezea Tottenham. Jamaa ni kinyozi anaye aminika sana na mastaa wa soka nchini Uingereza kwa ujuzi na ubunifu wake wa mitindo tofauti ya nywele. Pia anauwezo wa kusikiliza na kufanya anacho taka mteja wake bila tatizo.
Picha Zingine Zipo Hapa

MUONEKANO WA AGNESS MASOGANGE ALIVYOTUA BONGO KUTOKA AFRIKA YA KUSINI, BAADA YA SAKATA LA MADAWA YA KULEVYA... CHEKI PICHA HAPA

10:32 AM
Ikiwa ni wiki chache toka kesi ya video vixen Agnes Gerald a.k.a Masogange ya kutuhumiwa kusafirisha dawa za kulevya kuisha kwa kulipa faini nchini Afrika Kusini na kuwa mtu huru, hatimaye jana Jumanne amerejea nyumbani Tanzania.
 

Masogange

NEW VIDEO - NASSIR VANILLA - SI UTULIE (OFFICIAL VIDEO)

10:26 AM
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates