P square tena Tanzania

12:51 PM


 Sikia hii sasa!! Tanzania kwa mara nyingine tena tunawaleta kwenu 'P SQUARE'.

Jipange kucheza na PERSONALLY, ALINGO, CHOP MY MONEY na nyingine kibaooooo!!

NOVEMBA patakuwa HAPATOSHII!! JIPANGEEEE !!!!!!!!!

Picha za Behind The Scene ya Video Mpya ya Rihanna Ni Utata Mtupu.Pour It Up

12:16 PM
 Msanii asiyeacha vituko kila kukicha Rihanna yupo katika matengenezo ya video yake ya wimbo unaoitwa Pour It Up ambapo yeye mwenyewe ndiye muongozaji wa video hiyo inayotarajiwa kutoka wiki ijayo

Haya Sasa Hili Hapa Shavu alilopewa Ney wa Mitego na Madam Ritta Baada ya Kumdiss kwa Muda Mrefu

12:00 PM
NEY WA MITEGO NDANI YA EBSS 2013 
Hatimaye Ney Wa Mitego amepata nafasi ya kuhusika kama jaji wa Kitivo kwenye mashindano yanayoendelea hivi sasa ya Epiq Bongo Star Search 2013. Akiwa hana muda mrefu tangu aachie ngoma yake ya mwisho iitwayo ‘Salaamu Zao’, ngoma ambayo amewazungumzia watu maarufu wengi wengi akiwemo the big boss wa EBSS- Madam Ritha juu ya mwenendo wa mashindano hayo na washindi wake, Madam Ritha amempa shavu la kuwa jaji wa Kitivo kwa wiki ijayo.

JB KWA SASA AMEKIMBILIA LUSHOTO HUKO KWA WASAMBAA NA HICHI NDICHO KILICHOMPELEKA HUKO

11:56 AM
JB
JB_32 JB_40
JB ni mmoja kati ya mabalozi wa Oxfarm Grow akiwepo pamoja na Dina Marios kutoka Clouds FM pamoja na mabalozi wengine. Hizi ni baadhi ya picha za JB akiwa wilayani Lushoto kwenye moja ya kazi zake za kibalozi


Happy birthday producer Razak Tausir Raza-Key

11:50 AM

ANGALIA JINSI SHILOLE ALIVYONYONYWA MATITI NA SHABIKI WAKE JUKWAANI...!!

11:47 AM


      Shabiki akimnyonya maziwa Shilole baada ya kumuita jukwaani ili wacheze wote.

CHECK PICTURES PROFESA JAY AKIWA NA MWANAWE WA KIKE NA MUONEKANO WA NYUMBA YAKE KWA MBALI

11:45 AM


NEW VIDEO - ZEETOWN SOJAZ FT FEDRIGO - CHINJA CHINJA (Officiall Video)

11:21 AM

NEW TRACK - DAKTA NER FT NEY LEE - VINA TENA

10:48 AM

Juhudu za uokozi zimeanza tena Kusini mwa Utaliano baada ya boti iliyokuwa imewabeba wahamiaji wa kiafrika kwenda Italia, kuzama katika kisiwa cha Lampedusa.

3:05 AM
Baadhi ya waliopoteza maisha yao wakitafuta kuingia Ulaya

Boti hiyo ilizama ikiwa imesalia na kilomita moja kufika katika ufuo wa bahari siku ya Alhamisi.
Hadi sasa miili 113 imepatikana wakati kati ya waliokuwa katika boti hiyo miambili wakiwa hawajulikani waliko.
Kwa mujibu wa maafisa wa uokozi, idadi kubwa ya miili ya wahamiaji hao inaaminika kuwa ndani ya boti hiyo iliyozama.
Zaidi ya watu 150 waliokolewa. Wengi wa waliokuwa katika boti hiyo waliwa raia wa Somalia na Eritrea wakiwa katika safari ya kutafuta hifadhi nchini Utaliana. Inaaminika boti hiyo ilikuwa imewabeba watu 500
Kwa mujibu wa taarifa za serikali ya Utaliana ,mmiliki wa boti hiyo ambaye ni raia wa Tunisia alikamatwa
Aliwahi kufukuzwa kutoka nchini humu mnamo mwezi Aprili.
"Huu sio mkasa wa Italia, ni mkasa wa Ulaya na sharti kisiwa cha Lampedusa kionekana kuwa kitovu cha kuingilia Ulaya wala sio Utaliana tu,'' alinukuliwa akisema afisaa mmoja wa serikali .
Kote nchini Utaliana, kutakuwa na kimya cha dakika moja kuwakumbuka walioangamia.
kwa sababu ya kutokuwa na stakabadhi zinazohitajika, njia pekee ya wahamiaji wa kiafrika kufika Ulaya ni kupitia baharini kwa kusaidiwa na makundi ya wahalifu.
Mwandishi wa BBC Allan Johnston anasema kuwa wakati huu ambapo,mawimbi ya bahari ya Mediterranea yanakuwa yametulia, mamia ya wahamiaji huwasili katika fuo za kisiwa hicho karibu kila siku.
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates