Man Water na 20% wamaliza bifu

2:44 PM


 Msanii 20% aliyewahi kutamba na nyimbo tofauti zilizorikodiwa na Producer kutoka Combination sound  aitwae Man Water kama vile Mama Nema, Tamaa mbaya, Nigekusamehe na nyengine kali ambazo zilimfanya Watanzania kumkubali hadi kupata tunzo tano kwa pamoja, Lakini mambo yhalibadilika hapo kati na kutikezea mtafaruku kidogo kwa sasa hali imkua shwari na kiroho safi wameamua kulizika bifu na kuendeleza maisha ya mziki.
BIG UP SANA
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates