Panya anayegundua mabomu

1:06 AM

Panya anayegundua mabomu Afrika
'Panya mwokozi wa maisha'
Shirika moja lisilo la kiserikali la Ubelgiji APOPO limeanza kuwafundisha panya namna ya kutambua mabomu yaliyofukiwa ardhini. Panya hao ambao ni wakubwa kuliko panya wa kawaida wanafanyiwa majaribio Morogoro Tanzania .Inaaminika wanauwezo mkubwa wa kunusa kuliko mbwa. Hii inatokana na kuwa pua zao zipo karibu na ardhi,hali ambayo inawasaidia katika kazi yao ya utambuzi wa mabomu

YULE SENETA WA KENYA MWENYE VITUKO KUMBE NAYE ALIKWA MMOJA KATI YA WAOKOAJI WA WESTGARE! CHEKI PICHA ZAKE 7 AKIWA KATIKA HARAKATI ZA UOKOAJI.

1:02 AM
Nairobi senator Mike Sonko was in the front line to help victims at Saturday's Westgate terror attack.

The flamboyant politician had a military bulletproof vest, and the kind of headgear worn by anti-riot police.

Where did he get them from? Good question.











VIDEO: Nyani kweli hana adabu. angalia alichomfanya huyu mrembo mtangazaji kwenye live TV

12:50 AM

WANAUMEEE!!! ZIJUE SABABU 5 ZINAZOSABABISHA UUME KUWA MDOGO (KIBAMIA)... SOMA HAPA USIJE

12:46 AM
Kundi kubwa la  wanaume  ambao  wanashindwa  kufurahia  tendo la  ndoa  kutokana na kuwa  na uume  mdogo  kupita  kawaida.Wanaume  walio na tatizo  hili  wengi  wao huwa  hawana  confidence  ya   kuingia  katika  mahusiano  na  wasichana  ama  wanawake  wanao  fahamiana  nao  kutokana  na  kuogopa  " siri" zao  kujulikana  hususani  pale  uhusiano  wao  unapofika  mwisho..Ikitokea  mwanaume  akiwa  katika  uhusiano  na  mwanamke "mcharuko" ( asiye  mstaarabu )  mwanamke huyo anaweza  kuanza  kumvua nguo  hadharani  kwa  kumtangazia    kwa  watu  kuwa  na  uume  mdogo ." Mwanaume  utakuwa  wewe!" na  lugha za  namna  hiyo hutawala  midomoni  mwa  wanawake  hawo....
Matokeo  yake  sasa  wanaume walio na  tatizo  hili  huamua  kutokuwa  na  uhusiano wa  kimapenzi na  wanawake  wanao fahamiana  nao, na  badala  yake  huamua kuanzisha   tabia  ya kuwa  wanajamiiana  na  wanawake  wanaouza  miili  yao  ama  kujihusisha  na  upigaji  punyeto n.k.

NINI  CHANZO  CHA  UUME  KUWA  MDOGO.

1. Kupiga  Punyeto  kwa  muda  mrefu..
Hali  hii  husababisha  kusinyaa  kwa  uume  na  hatimaye  uume  kurudi  ndani.

2. Kuugua chango  la  uzazi.
3. Magonjwa  ya utotoni.
4. Kutahiriwa  mapema  
5. Kurithi  kutoka  kwa  wazazi  :
Wanaume  wengine  wana  maumbile  madogo  kwa  sababu wamerithi  maumbile  hayo  kutoka kwa  wazazi  wao.

HIVI NDIVYO NIKK MINAJI ALIVYO YAACHA MATITI WAZI NA KUTEMBEA MITAANI

12:44 AM
Wiki hii Picha za Nicki Minaj zikimwonesha akiwa kavaa kikoti ambacho kiliacha maziwa yake nje zilisambaa katika mitandao mbalimbali na kufanya watu wajiulize kama ilikuwa ni bahati mbaya kuvaa vile au alifanya makusudi kama tulivyomzoea.

WANAUME WAMPA MAKAVU MSICHANA ALIYETANGAZA KUTAFUTA BASHA WA KUMUOA, WASEMA WANA WASIWASI NA UTIMAMU WA AKILI YAKE!

12:42 AM
Msichana aliyejitangaza kuwa anahitaji mume wa kumuoa hatimae amepewa makavu live na wanaume na kusema kuwa huenda akili ya bint huyo haiko sawa kwa kitendo alichokifanya.

Hii ndiyo taarifa aliyoitoa dada huyo

 Mimi ni  binti  mjasiliamali  ambaye  nimechoka  kuishi  peke  yangu  na  sasa nahitaji mwanaume  wa  ndoa  anayejiheshimu  na anayejua kupenda.Umri  wangu  ni  miaka 25, elimu  yangu  ni  form six.

 Asilimia kubwa ya wanaume ni wasumbufu  na  wana wanawake  wengi,kitu  ambacho  kwa  upande  wangu sikitaki  maana  najijua  nina  wivu....

Kwa  yeyote mwenye sifa hasa ya kuja kuwa mume mwema  ambaye  atanipenda  kwa  dhati  na  hatanisaliti  basi anijibu  kupitia  email  yangu. 

Kwa  upande  wangu  namhakikishia  kuwa  ntampenda  kwa  dhati, Sitamsaliti, ntamheshimu  na  ntawapenda  ndugu  na  jamaa  zake  wote  kwa  moyo  wangu  wote.

MUZIKI WETU UNA MATUKIO MENGI SANA SANA!!! by Roma mkatoliki

12:35 AM

Kama miaka 2 iliyopita hivi kulikuwa na show ya X -MASS MWANZA!! aaaf kesho yake 26th ilikuwa MUSOMA!! ilikuwa ni mimi na belle 9 na band fulani hii ya wakongo!!!

Sasa kiufupi tu ile show ya 25th ya X -MASS pale GOLD CREST MWANZA ilifeli hivi(obvious haikutangazwa so wakaifelisha

PICTURES 3 BUYUBAYA MTABIRI AKIFANYA MANUNUZI #YOUNG TOZZ CLASSIC FASHION

12:23 AM



 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates