TABIA YA KUTOVAA NGUO ZA NDANI YAMTOKEA PUANI MSANII TIWA SAVAGE,KILA KITU CHAANIKWA HADHARANI...!!

6:47 AM

Msanii  huyu   toka  Nigeria amejikuta  akiambulia  aibu  baada  ya  nyeti  zake  kuanikwa  hadharani  wakati  akitumbuiza  jukwaani...

Tiwa  alikuwa  akitumbuiza  jukwaani huku  akiwa  na  kisiketi  kifupi ambacho  kilianika  kila  kitu  kwa  kuwa  ndani  hakuvaa  KUFULI...

Kilichomstua  ni  baada  ya kuona  watu  wako  bize  na  simu  zao  wakipiga  picha  hasa  eneo  la  chini  alipokuwa  amesimama  juu ya  jukwaa...

Hali  hiyo  ilimfanya  akatishe  show  kwa  muda ili  kupata  muda  wa  kujiweka  vizuri...

Video Ya Star Wa Man Untd Robin Van Persie Akisema Anapenda Kusikiliza Muziki Wa P Square Kutoka Nigeria

6:35 AM
Kama Bado hujapata nafasi ya kusikiliza interview ya Star Wa Man Untd Robin Van Persie Akisema Anapenda Kusikiliza Muziki Wa P Square Kutoka Nigeria na mambo mengine kuhusu maisha yake ya soka, filamu na Muziki. Wasanii anaopenda kuwasikiliza na issue zingine, Interview ipo hapa

SHOW YADIAMOND NA NEY WA MITEGO ZANZIBAR

6:31 AM
Nay kwa stage




Sitii neno hapa..........




Anaimba vitu gani huyu!!!?

Mziki hamuuwezi nyie ni ubabe tu..bora nikimbie usijenitia mbata ..ha ah ha  ha!!


Hii stayle alipoitoa Nay,anaijua mwenyewe

Baada ya show backstage na baadhi ya mashabiki
waliotaka kupiga picha kwa ajili ya kumbu kumbu zao





Hii ndio cover rasmi ya Mixtape mpya ya Nikk mbishi "Malcolm Xi" jipange na Tsh 5000 tu soon itakua mtaani

6:10 AM

Ray C in Love With Westgate Mall Terror Attack Hero Abdul Haji

5:43 AM

2013-09-28: Abdul Haji has been termed a hero by everyone after his heroic act of rescuing countless victims in the Westgate mall terror attack. He is so brave that he actually did all this without even a bullet proof vest and with just a pistol as his only weapon.

Rafiki Mpya Wa Davido, Footballer Samuel Eto'o, Picha Iko Hapa

5:05 AM
Urafiki wa stars wa muziki na Michezo unazidi kuwa mkubwa, Hivi karibuni tuliona picha ya Rapper Drake akiwa na Man Untd star Nani, Leo nakupa hii mpya Ni Star Davido na Samuel Eto'o.

MATAJIR 40 AFRIKA PICHA NA MIAKA YAO, BAKHRESA YUPO KWENYE 10 LA MWISHO: MATAJIR 40 AFRIKA PICHA NA MIAKA YAO, BAKHRESA YUPO KWENYE 10 LA MWISHO:

4:05 AM
Hawa ni kati ya matajir wa AFRIKA ambao wanamiliki mkwanja mrefu sana kutokana na Biashara zao mbali mbali, hisa, pamoja na sehemu walizoekeza, list hii itakuonesha Matajir 40, pamoja na picha Picha juu namba chini Jina na kiiwango pembeni,Japo zipo chache  ambazo hazina picha lakini zina vivuli na majina na miaka utajionea , Bakharesa yupo kwenye nafasi ya 30 ambae ametajwa kumiliki
$520 Million:
1

Aliko Dangote

$12,000 Million 56
2

Nicky Oppenheimer & family

$6,400 Million 68
3

Johann Rupert & family

$5,700 Million 63
4

Nassef Sawiris

$5,500 Million 52
5

Mike Adenuga

$4,600 Million 60
6

Christoffel Wiese

$3,700 Million 72
7

Othman Benjelloun

$2,750 Million 80
8

Patrice Motsepe

$2,650 Million 51
9

Naguib Sawiris

$2,500 Million 59
10

Mohamed Mansour

$2,200 Million 65
11

Onsi Sawiris

$2,170 Million 83
12

Miloud Chaabi

$2,100 M 84
13

Yasseen Mansour

$2,000 M 52
14

Youssef Mansour

$1,950 Million 68
15

Desmond Sacco

$1,400 Million 71
16

Anas Sefrioui

$1,350 Million 56
17

Stephen Saad

$975 Million 49
18

Sudhir Ruparelia

$900 Million 57
19

Jim Ovia

$825 Million 59
20

Shafik Gabr

$720 Million 60
21

Abdulsamad Rabiu

$675 Million -
21

Cyril Ramaphosa

$675 Million 60
23

Lauritz (Laurie) Dippenaar

$625 Million 64
24

Folorunsho Alakija

$600 Million 62
24

Theophilus Danjuma

$600 Million 74
26

Oba Otudeko

$575 Million 69
27

Raymond Ackerman

$550 Million 82
27

Mohammed Indimi

$550 Million 65
29

Samih Sawiris

$525 Million 56
30

Said Salim Bakhresa

$520 Million 64
31

Isabel dos Santos

$500 Million 40
31

Moulay Hafid Elalamy

$500 Million 53
31

O.B. Lulu-Briggs

$500 Million 83
34

Alami Lazraq

$490 Million 63
35

Gerrit Thomas (GT) Ferreira

$480 Million 65
36

Koos Bekker

$450 Million 60
37

Sani Bello

$425 Million 70
38

Jannie Mouton

$415 Million 66
39

Naushad Merali

$410 Million 62
40

Hakeem Belo-Osagie

$400 Million 58
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates