WATU WAWILI WANASWA NA MAITI YENYE MADAWA YA KULEVYA

10:41 PM
POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam inawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kukutwa na maiti, iliyokuwa na pipi 33 za dawa za kulevya aina ya heroin tumboni.

2030 YA ROMA VIDEO IPO TAYARI

10:08 AM

WASANII WAUNGANA AFRICA MASHARIKI,DIAMOND MWANA FA NA JOSE CHAMELEONE SWALA LA KENYA

9:59 AM
Wasanii wakubwa kutoka East Africa na Africa, Diamond Platnumz, MwanaFA na Jose Chameleone waendelea ku-support wahanga wa shambulizi la wanajeshi wa Al-Shabaab kupitia kampeni ya WE ARE ONE #BadilishaProfile  kwa kubadili profile pictures zao katika mtandao wa kijamii wa twitter MwanaFA, Jose Chameleone, Huddah, Lameck Ditto na wengineo … Wakati huo huo, watu wameanza kuitwa kufuata magari yao katika PARKING walipokuwa wameyaacha kutokana na mashambulizi …
Tukio hilo la WESTGATE jijini Nairobi, linasemekana kupoteza zaidi ya raia 63 nchini humo … See the artists accounts …


SIMU ZA WATU MILIONI NANE KUFUNGIWA MWISHO MWA MWEZI HUU

7:50 AM
WATUMIAJI wa simu wapatao milioni nane wapo hatarini kufungiwa simu zao ifikapo mwishoni mwa mwezi huu, Tanzania Daima limebaini.

Tayari Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeziandikia kampuni za simu waraka wa kuzitaka zianze kukata kodi mpya ya laini (simu card) mara moja kuanzia Julai 30, 2013.

HUKUMU YA MASOGANGE.. MCHEZO UMECHEZWA!

7:48 AM
 “Hivi jamani, hiki sasa ni kiini macho. Tuliambiwa lakini watatoka tu. Mamlaka ya mapato kule Sauzi waliona ni madawa ya kulevya, mahakama ikaona ni kemikali hatari, mnadhani nani mkweli hapo?”

VIDEO Queen wa Bongo, Agnes Gerald Waya ‘Masogange’ na shosti yake, Melissa Edward wapo huru kufuatia kesi iliyokuwa ikisikilizwa nchini Afrika Kusini ya kukamatwa na madawa ya kulevya aina ya Crystal Methamphetamine ya Sh. bilioni 6.8, lakini baadhi ya wadau nchini wanasema kuna mchezo umechezwa, Ijumaa Wikienda limebaini mambo ya kushangaza nyuma ya pazia.
Masogange na Melissa walikamatwa Julai 5, mwaka huu kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Oliver Tambo uliopo Kempton Park jijini Johannesburg nchini humo. Wawili hao wameishi mahabusu kwa saa 1824.

Zanzibar Upo tayariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hii ni kali kuliko zote

4:22 AM

new track - Mad Ice - Wasiwasi

3:54 AM
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates