Taarifa kamili ya kurusha bomu bomu ZNZ

10:27 PM

Usku wa manne maira a saa 8:45 mtaa wa daraani usawa a SAHARA STORE watu wasiojulikana wakiwa ndani ya gari aina ya PICK UP ambayo namba zake haikuweza kufahamika ikiwa naangi ya Silver walirusha kitu kinacho fanana na "soseji" hapo kwenye duka la mfanya biasara aitwaye Humoud kwa umaarufu wa SAHARA STORE na kuangukia katika kreti zenye chupa zasoda zilizopangwa.
Mmoja wa alizi aliyekuwepo mahali hapo(Amour Kassim Amour) miaka 36 alichukua kitu hicho ambacho kilianza kutam oshi na kukirusha barabarani na kuleta kishino kikubwa a moshi mwingi lakini pia kilisabisha barabara kuchimbika katka ile sehemu kilipoangukia kituhico kinafanana na SOSEJI,kwenye eneo hilo kilipoanguukia hapaua na n kitu cochote zaidi ya unga mweupe na kokoto zilizchimbika.
Hakina mtu aliyejeruhiwa wa maliilivyothirika.
Jesi la polisi kupita kamanda wa mkoa wa mjini magharibi Mkadam Khami Mkadam amewamba wananchi kuwa tulivu na pia kutoa usirikiano kwa jesi hilo.

NYUMBANI VIDEO BY T-guay Philosoph

3:42 AM

new track - Jaguar Ft Vivianne - My Dream

12:06 AM
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates