Mke Wa Swiz Beats Na Muonekano Wake Mpya

11:55 PM
Rapper na Producer Swiz Beats ameweka wazi picha mpya za Mke wake Alicia Keys zinazo onyesha jinsi Mama huyo wa Mtoto moja alivyo pungua toka amejifungua mtoto wao wa kwanza.

CHEK HICHI KIOJA CHA KUTISHA SANA

10:36 AM
Kioja kimetokea katika mtaa wa Utange mjini Mombasa ambako msichana mmoja adaiwa kunya vyuma kila anapoenda haja kubwa. Msichana huyo wa umri wa miaka kumi amekunya makasi, kisu na msumari. Wakaazi wa eneo hilo wanahusisha tukio hilo na ushirikina. 
 

SOMA STUTAS YENYE HISIA KALI KUTOKA KWA ROMA

9:39 AM
Ilikuwa siku ya tarehe 12th september 2002, siku ya alhamisi kama leo, majira ya saa 4 hivi asubuhi!!!(mida kama hii ninayoandika status hii)!!

Tukiwa hospital TANGA (Bombo hospital)!! kitandani akiwa amelala BABA YANGU MZAZI, na pembeni tukiwa tumemzunguka WATOTO WAKE/MAMA YETU/BIBI YETU(ambaye ndiye mama yake baba)!!...

tena nakumbuka bibi alikuwa akikusanya vitu pale wodini,chupa ya chai na vyombo na baadhi ya nguo, as if tunaondoka kurudi nyumbani(bila shaka alishakata tamaa na mgonjwa wake)!! maana hata alipoulizwa kwanini vile!!? alijibu kwa lugha ya kikwao "kipare" kuwa leo tunarudi nyumbani na dalili ya unafuu hajaiona!!!

"watu wazee wanaona mbali sana"!!

Kiukweli kila mtu hakuwa na raha wala amani asubuhi ile...ni kama tulikosa raha wanafamilia wote pale!!
wakiwa wanamlazimisha baba anywe uji kidogo hata asubuhi ile aongeze nguvu!!!

Mungu huyu ni wa kumtukuza siku zote!!
nakumbuka nilikuwa kidato cha pili mwaka huo, lakini sikumbuki hata kwanini sikwenda shule, sina kumbukumbu hiyo!!

Ghafla nikiwa kwenye kochi nimekaa pembeni nachezea chezea simu, nikasikia mama akipiga kelele huku akilia.......
"usiniache usiniache usiniache"......

nashtuka na kuangalia kitandani....OOOH GOD!!! nilichokiona ni picha ambayo hadi leo miaka 11 imepita, lakini picha hiyo inajirudiaga katika akili yangu kila mara!!

ilikuwa ndio mara yangu ya kwanza kushuhudia mtu akiwa anaaga dunia!!!
"SIKU ZAKE ZILIFIKA"
na hali ya pale wodini haikuwa tena ya kawaida, ni vilio na kutokusikilizana...

ILA UKWELI NI KUWA BABA ALIKUWA AMESHAFARIKI ASUBUHI HII!!

WISH KAMA UNANISIKIA DADDY!!

- We all cool sasa/ tupo wazima watoto wako wote, na mama anatutunza vema!!

-Dadii nimekuwa sasa mwanao, A GT BABY BOI na anaitwa IVAN (Gift from god)!! ikiwa na maana kuwa ujio wa mtoto huyu wa kiume ktk familia ni sawa na mimi kumuona BABA, na sawa na MAMA kumuona mumewe na ndio maana mama humuita ivan MUME WANGU!!

-Hey dadii nimekuwa msanii mkubwa kiasi sasa tofauti na kipindi unaniacha, ukiwa unanizaba makofi nikifuta kanda zako za Madilu system/Aurlus mabele/Bozi boziana/Awilo longomba kisha najirecord nikichana akapela!!!

ile imenijenga na sasa NAIFUNGA SHOW MIMI LEO!! na inanipa maisha kazi hii!!

-BABA kuna mengi tu ya kuongea ni hivo hatujapewa uwezo huo na aliyetuumba!! ila tunakukumbuka sana wanao-:

Rasheed/Omar/Maimuna/Asha/ R.O.M.A!!!

leo umetimiza miaka 11 kaburini!!! kila siku tunakuombea na tutazidi kukuombea milele yote!!....

R.I.P DADY....a wish ungekwepo/tucelebrate anakumiss mke wako!!!

"KUNA KABURI LA BABA NITARUDI KILIMANJARO"

Rooomaaa!!!

CHEK PIC YA MTOTO WA H.BABA NA FLORA.

9:14 AM

TAZAMA VIDEO B2 NA ADAM MCHOMVU WAKICHEZA NGOLOLO YA DIAMOND

1:14 AM

VIDEO - 50 Cent - Can't Help Myself I'm Hood (Official Video)

1:06 AM

NEW TRACK - ISON FT SMILE - MUDA

1:03 AM

VODACOM WAINGIA MKATABA NA DIAMOND PLATNUMZ RASMI KATIKA KUIKUZA NGOLOLO DANCE

12:08 AM
DSC_0120
Mkuu wa masoko na mawasiliano Kelin Twissa  kulia na mwanamuziki Diamond Platnumz katikati wakitia saini ya mkataba baina ya Vodacom na msanii Diamond Platnumz unaoipa haki Vodacom kutumia wimbo wake mpya wa my number one .

Rick Ross Sio Single Boy Tena, Ameanzisha Mahusiano Na Huyu

12:04 AM
Kama ilikupita basi daka hii mpya kutoka kwa Rozay, Miezi michache iliyopita aliachana na mpenzi wake wa muda mrefu maarufu kama Shateria Moragne-el, huyu ndiye binti aliye kuwa nae kwenye tukio la gari ya Rick Ross kupiga risasi wakati anatoka kwenye sherehe ya siku yake ya kuzaliwa.
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates