Picha Za Jay Z Beyonce Na Blue Ivy Ambazo Zimejipatia Umaarufu Zaidi Kutoka Katika Party Ya Birthday Ya Beyonce (32) Huko Italy

11:31 AM

Tazama Hapa Video Na Picha Ya 'Mapambano' Yaliyotokea Bungeni Jana

11:30 AM

 
Unaweza kutazama Video ya kilichojiri hapa;

Daz baba kawa chizi moro...afande sele hathibitisha

7:11 AM


“Hivi juzi juzi Daz alikuja kwangu usiku,akapiga kelele sana ile kuamka nikamkuta Daz akiwa mchafu na akiongea maneno ambayo
hayaelewiki.baadaye alitaka kumfanyia tendo baya mfanyakazi wangu wangu wa kike lakini hakufanikiwa.
Pia nimekuwa nikisikia kuwa mara nyingi alikuwa akionekana pale stand akizurura zurua na kufanya mambo kama kichaa kabisa.
Hali ya Daz ni mbaya sana nimejaribu kumuweka sawa lakini nimeshindwa labda
wakamfanyie matambiko ya kwao kwa sababu baba na
mama yake walifariki na walikuwa hawaelewani labda
kuna matatizo ya kifamilia.”

VIDEO - Crazy GK ft Yuzo Baraka Au Laana

12:40 AM
GK

VIDEO- STAMINA FT DARASA & WARDA - MWAMBIE MWENZIO

12:31 AM

Muziki umesababisha Ndoa ya Linex na Mchumba wake wa kizungu kufutwa

12:02 AM
Linex 125
Kilichokua kinafata ni ndoa ambayo ilikua imepangwa na wote wawili baada ya Linex kukamilisha hatua muhimu ambayo ni kumvisha pete mchumba wake anaitwa Suvi raia wa Finland mwezi March 2013.


 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates