HIVI NDIVYO LAUNCHING VIDEO YA MY NUMBER ONE ILIVYO HAPPEN NDANI YA SERENA HOTEL

1:01 AM

ONE ILIVYO HAPPEN NDANI YA SERENA HOTEL

Napenda kutoa Shukrani zangu za dhati kwa
Mwenyezi Mungu kwa kuweza kunifanikisha
hadi kufikia hapa muda na wakati kama huu...
Usiku wa tarehe 29.08.2013 nilikuwa na Launch
video yangu inayotambulika kama
My Number One,nilianda tafrija fupi kwenye
 hoteli ya nyota tano,Serena Hotel jijini Dar Es Salaam


,ili kuweza kujumuika
na ndugu,jamaa na marafiki wa karibu kuwonesha
kile kitu ambacho nimetumia muda mwingi
kutengeneza,kabla ya kuiachia nikaona vyema
waipitie kabla mtu wangu wa kweli ujaicheki.


Shukrani zangu nyingie ziwaende kwa wageni waalikwa 
wote kufika na kutoa support na kushow love kwangu
Sina cha kuwalipa bali kusema asante na mzidi kutegemea
kazi nzuri toka kwangu...

Mtu wangu wa kweli unaweza ukache Exclusive Photo kwaajili yako
ujione kilichojiri usiku wa My Number One video Launching 
Serena Hotel.
WASAFI......WCB

Picha Picha tu zinahusika sehemu kama hizi.....Kumbukumbu tosha.


William Malecella or U can Call Him Lemutuz.....

I-view Media C.E.O & Founder Raqeey wa kulia na Mpenzi wa Nancy Sumari.
Nancy Sumari,Kulia akiteta jambo na mgeni
mwingeni mwalikwa....Sehemu kama hizi
ukutanisha watu na kubadilishana mawazo...

Kutoka Kushoto A.Y,Shaa,Bench Mark Founder
 & EBSS Chief Judge Madam Rita & Salama Jabir
ndani ya nyumba....





Kila mtu Busy na simu kuangalia kianchojiri
kwenye upande wa pili wakisubiria Launching ya
My Number One...




Uncle Salu akukosekana nae,kuhakikisha mambo yanaenda sawa
pembeni ni mama yangu Mzazi BI Sandrah....



Mama Yangu kipenzi akukosekana,Asante
sana mama kwa kufika,Binafsi nafarijika
kuona hata mama yangu mzazi anakubali kazi zangu...

HIVI UNAFAHAMU KUWA ASILIMIA 90% YA KAZI ZA MUZIKI WA TANZANIA HAZINA KIWANGO KIZURI CHA UBORA?

12:31 AM
HIVI UNAFAHAMU KUWA ASILIMIA 90% YA KAZI ZA MUZIKI WA TANZANIA HAZINA KIWANGO KIZURI CHA UBORA? KWA KULITAMBUA HILO MUZIC-AFTA INAJITAMBULISHA RASMI KUWA MKOMBOZI WA UBORA WA KAZI ZA WASANII WOTE NCHINI TANZANIA WOTE MNAKARIBISHWA.

DIAMOND AMFANYIA SUPRISE MZEE GURUMO KWENYE UZINDUZI WA VIDEO YAKE,AMPA GARI

12:26 AM


Nikikutajia Jina la Muhidini Gurumo
 basi utajua namzungumzia nani.
Nguli wa muziki wa Dansi nchini Tanzania.....
Takribani wikii imepita toka kusikika
kwa habari za kweli kuhusu kustaafu
muziki kwa Mzee Gurumo,binafsi sikuwahi


kukutana nae hadi leo hii nilipokutana nae
kwenye uzinduzi wa Video yangu.
Nilimualika mzee huyu kwa mapenzi yote,niliskia
 juzi pia akisema amekuwa akipendezwa na
style ya muziki wangu na kucheza pia hayo ni moja wapo ya mambo pia
yaliyonivutia kutaka kumuona mzee huyu.
Nilipitia kwenye mitandao mingi uku ikiandikwa
kusemekana kutokana na kalui ya mzee
Gurumo ameweza kuwa kwenye fani zaidi
ya miaka 50 lakini akuwahi bahatika hata kuwa na Baiskeli....

Jambo ili lilinigusana na kuniumiza moyoni,
kuona nguli kama huyu wa muziki
kunena vile na kuomba msaada,
Binafsi leo usiku nimemtunuku Gari
Mpya mzee Gurumo kwenye uzinduzi wa Video yangu.
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates