SAD - SAYNAG AMEFIWA NA MAMA AKE MZAZI LEO

1:21 AM

Taarifa zilizo tufikia ivi pundu zinaseama kua mwana dada saynag amefiwa na mama ake mzazi akiongea na chiwileinc mtu wa karibu na saynag ( fan kiss) amesema  Ni kweli saynag amefiwa na mama ake mzazi leo asbuhi alikua hospital mda mlefu sana akisumbuliwa na ugonjwa kwa kansa hadi juzi alivyo rudishwa nyumbani na leo asbuhi amefariki

R.I.P
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates