VIDEO - MAPACHA & DANNY MSIMAMO (MAGENGE) FT. SARAHA- GHETTO LOVE

12:51 PM

Grandpa yamnasa Kenrazy

10:27 AM
Lebo ya muziki inayokuwa kwa kasi sana Afrika Mashariki, Grandpa kutoka Kenya, imefanya hatua nyingine ya nguvu kwa kumsaini nyota mwingine mkali wa muziki wa nchi hiyo, Kenrazy ambaye sasa anaungana na timu hiyo ambayo siku hadi siku inajizolea heshima kwa kazi nzuri inazofanya.

NEW TRACK - TARIK SHADID - BIBI BONGE

12:40 AM
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates