NEW TRACK -ZEE TOWN SOLDIERS FT FREDRIGO & SULTAN KING -CHINJA CHINJA

12:22 PM

UKWELI KUHUSU MADEMU WENYE MWANYA AU KIDOTI

12:16 PM

 Inasemekana Wanawake wenye Mwanya au ndevu ama ki alama cheusi chini ya pua maarufu kama Kidoti huwa  wanawavutia sana Wanaume Smart kutokana na imani kwamba wanawake hao huwa wanabahati katika maisha kwa asilimia kubwa huwa wana maisha mazuri na pia mwonekaono wao huwavutia wanaume walio wengi sana na mimi nikiwa mmoja wapo:wewe wavutiwa?                                                      

VIDEO - MwanaFA - ft. Kilimanjaro Band, Mandojo & Domokaya -Kama Zamani

12:47 AM

Fahamu Majengo Kumi Ya Ajabu Zaidi Duniani

12:43 AM

TATIZO LA WASANII WA ZANZIBAR KUSHINDWA KUJISAJILI BARAZA LA SANAA

12:40 AM
maelezo ya kujiunga baraza la sanaa
kumekua na tatizo kubwa kwa wasanii wa zanzibar kushindwa kujisajili baraza la sanaa ili watambulike kama wasanii halali jana nilipata mda wa kwenda baraza la sanaa zanzibar na kuongea na baadhi ya viongozi husika ambao walinipa ushirikiano wa kutosha nakunielekeza baadhi ya mambo kama faida ya kijisajili na

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates