DON'T MISS...........!!!!!!!!!!!!

12:04 PM

SHOW SHOW SHOW......!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

12:02 PM

HATIMAYE MTANZANIA FEZA KESSY ATOLEWA KATIKA JUMBA LA BBA

11:55 AM

NEW VIDEO - NEW MONEY FT ALONEYM - LEGEZA

11:41 AM

Mwasiti, Shetta watoa usia

11:27 AM
Wasanii wa muziki wa kizazi kipya wanaofanya poa Hapa Tanzania, Mwasiti Almasi pamoja na Shetta ambaye kwa sasa yupo huko Kahama kwaajili kuwapa wananchi burudani ya Eid, Leo hii katika siku hii ya sikukuu ya Eid el Fitri kwa waislamu sehemu mbalimbali duniani, wamekuwa na ujumbe na wosia mzito kwa waamini wa dini hii ambao pia ni wapenzi wa burudani.

Mansu Li kutambulisha kichupa

11:16 AM
 
Rapa mkali wa Sinza Star Mansu-Li, anayeendeleaa kuuwakilisha muziki wa Hip Hop ambaye baada ya kutoa traki mpya ya kolabo kali na  marapa Jaymoe pamoja na The Don kupitia wimbo wao 'Leo Ndio Leo', hivi sasa anadondosha project yake mpya ambayo anatarajia kuachia kichupa kipya kwa mashabiki wake Afrika Mashariki.

CHECK VIDEO -JINSI DIAMOND ALIVYO WAPAGAWISHA WAKENYA KWENYE SIKUKUU YA EID

10:53 AM

NEW VIDEO- BUYUBAYA MTABIRI FT TUNDA MAN - MAPENZI UTATA

10:47 AM



NEW VIDEO: MAGENGE FT. JCB, MO PLUS AND G.NAKO - KIPANDE NA WANA

10:38 AM

HII NDO THAMANI YA PETE, CHENI, SAA NA BLING NYINGINE ZA MSANII DIAMOND PLATNUMZ NOOMA

10:34 AM

HII NDO ATHARI YA KUWEKA PICHA ZA UCHI MTANDAONI

10:27 AM


Mwezi wa kujistiri kwa wale wenzangu na mie ndiyo huo umeondoka, hapana shaka kuna wengine wanasoma hapa, huku wakiwa ndani ya yale mambo yetu. Siyo ishu, kila mtu ana uhuru wa kufanya kile akipendacho. Nchi yetu inaruhusu kuvaa chochote, ilimradi tu usiende utupu.

Nakumbuka miaka kama mitatu nyuma iliwahi kutokea hoja kuhusu mavazi, wengi walisema Serikali ilikuwa na mpango wa kupiga marufuku vimini na nguo za kubana.

CHECK PICTURES OMMY DIMPOZ ALIVYOPOKELEWA BURUNDI

10:16 AM
ommy


Ommy Dimpoz licha ya kukwama kwa muda kidogo kwenye Airport ya Jomo Kenyatta, hatimaye aliweza kufika nchini Burundi na kufanya show. Baada ya kufika Burundi,  njiani kuelekea kwenye show Ommy Dimpoz alifuatwa na kundi kubwa la watu wakifuatilia gari lake huku yeye akiwapungia mkono. Cheki hii picha kutoka kwake mwenyewe Ommy Dimpoz
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates