NEW TRACK- NEW MONEY FT ALONEYM -LEGEZA

11:29 AM

NEW TRACK- SULTAN KING FT KUNTA - WANANUNA

11:19 AM

NEW TRACK -Danny Msimamo Ft. Ramma Dee & Suma G

10:36 AM

USIKU WA NANI MKALI WA MANZESE NDANI YA NGOME KONGWE

12:50 AM

MIEZI nane baada ya kufariki dunia mumewe Juma Kilowoko ‘Sajuki’

12:47 AM


Na Issa Mnally
MIEZI nane baada ya kufariki dunia mumewe Juma Kilowoko ‘Sajuki’, ...
hatimaye mume wa pili wa staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma aitwaye Ahmed Kushi ameibuka na kudai kwamba anatambua kwamba staa huyo bado ni mkewe na anataka ampatie mwanaye aliyezaa naye.
Kwa muda mrefu kulikuwa na taarifa kuwa Wastara aliachana na mwanaume huyo kwa talaka kabla ya kuolewa na Sajuki lakini kuibuka kwake na madai kuwa bado mwanadada huyo ni mkewe kumezua mshangao mkubwa.
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates