Kwanini wanasoka wa Tanzania hawatoki kimapenzi na celebrities wa kike?

10:54 AM
20130805-141306.jpg


ZUNGUKA kumbi zote za disko. Hautamuona mwanasoka yoyote wa Tanzania amemshika kiuno mwanamke maarufu (celebrity) katika fani yoyote maarufu kuanzia, filamu, muziki hadi siasa. Na sio hao tu, wanasoka wa Tanzania wanaishi dunia tofauti na wanawake wenye hadhi za juu (high Personalities female)
Wakati David Beckham akihangaika na Victoria AdamsCristiano Ronaldo akihangaika na mwanamitindo wa Kirusi, Irina Shayk, hali ni tofauti kwa mwanasoka wa Tanzania. Ni nadra kwenda katika klabu ya usiku (Nightclub) na kumkuta Nadir Haroub ‘Cannavaro’ akiwa katika mtoko na Mwanamitindo Flavian Matata. Unajua kwa nini kuna sababu nne kubwa. Kwanza ni umaskini unaowakabili. Hawapo katika kiwango cha kushindana kifedha na mastaa wa fani nyingine ndani ya nchi. Wakati mwanamuziki Diamond anaweza kuingiza sh 30 milioni kwa shoo za mwezi mmoja, inamchukua Mrisho Ngassa miaka miwili ya kusaini mkataba mpya ndipo apate fedha hizo.
Wema Sepetu hawezi kwenda kwa Mrisho Ngassa. Atakim

PICTURES YA SIKU

1:21 AM

THE BEST OF RAMA DEE

1:18 AM

CHUKUA HII TOKA KWA YOUNG KILLER

1:05 AM
Video ya (jana na leo)..YOUNG KILLER & STAMINA & QUICK ROCKA.... dzain kama inafanyika siku ya ..j.4 saa mbili asubuh...mahari KINONDONI manyanya..Studio kwa (mona genster) mtaa wa EDY BACKA ukiwa kama fans unae..sapoti mziki wa hip tz..tunaomba ushirikiano wako...kwa kujitokeza ukiwa umevaa (black & white)lkn hatuto mlipa mtu yeyote...please njoo ushoow love..KWA kutoa sapoty yako....kwa maelezo zaidi piga xm namba (0712 737081)

By Young killer
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates