Picha: Wasanii na watangazaji walivyo futari na Raisi na familia yake Ikulu Dar

10:59 AM
Wasanii mbali mbali na watangazaji walipata kualikwa ikulu jijini Dar, kwa ajili ya kuftari na Mh Raisi pamoja na familia yake.mara baada ya kuftari Mh Kikwete aliongea mawili matatu ikiwa ni pamoja na kuwapa moyo wasanii kwa kuendeleza sanaa maana hata yeye anapenda kusikiliza miziki yao

B12

Fetty

Dj Mully B

HII NI BALAA: ONA JINSI KETE ZA MADAWA YA KULEVYA ZINVYOFICHWA MWILINI MWA BINADAMU

1:17 AM

Hii ni picha ya x ray inayoonesha ndani ya tumbo madawa aliobeba. Hivi ndivyo huwa mambo yanavyokuwa kwa wabebaji wa madawa ya kulevya (maarufu kwa jina la Punda)  ni hatari sana kwa afya ya Binadamu
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates