NEW TRACK STAMINA FT DARASA & WARDA- MWAMBIE MWENZIO

1:42 PM

TRACK- COOL KAKA - HATUFANANI

1:12 PM

BWANA MISOSI NA MPENZI WAKE AMANDA WAACHANA.........!!

12:54 PM

HATIMAYE wale wapenzi waliong’aa hivi karibuni, mwigizaji Tamrina Mohamed Poshi ‘Amanda’ na Mbongo Fleva, Joseph Rushahu ‘Bwana Misosi’ wanadaiwa kumwagana rasmi
 
Habari kutoka chanzo  ambacho ni mtu wa karibu wa wapenzi hao, zilieleza kuwa Amanda na Bwana Misosi walishamwagana kimyakimya ikiwa ni baada ya kushindwa kuelewana kitabia.

HAPPY BIRTHDAY PRODUCER BUJU MANDEV

12:49 PM

HUYU NDO MSANII ALIYETANGAZA KUMPORA MUME WA AUNT EZEKIEL..

12:46 PM
KATIKA hali isiyo ya kawaida msanii anayechipukia katika filamu za Kibongo, Isabella Fransis ‘Vai wa Ukweli’ anamtafuta ubaya gwiji katika tasnia hiyo, Aunt Ezekiel kwa kusema anamtamani mumewe.
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates