CHECK PICTURES A-BOYS WALIVYO WAKILISHA ZEE-TOWN NDANI YA DUBAIDUBAI

2:38 AM

walisogea kuwakilisha pande zile ilikuwa  ndani hyatt reges dubai so palikuwa na pafomas pia na mshindi alikuwa anapewa dall 100 na a-boys wakachukua huo mkwanja

mchana wa leo ndani ya xxl ngoma mpya ya stamina inaachiwa.........itc going down

2:25 AM

WEMA SEPETU ANUNUA GARI JIPYA LENYE RANGI YA PINK

2:18 AM
 
Haya ndio Maneno ya Martin Kadinda aliyoandika facebook na kuweka picha ya Wema akiwa na gari hilo

"samahani kwa ubora wa picha kuwa hafifu....... Ila huyu dada anapenda pink kupitiliza..... haya she gat new pink Car.... mkutane barabarani..." aliandika Martin.

CHECK PICTURES SULTAN KING, MR BLUE & NAJ WAKIWA KWENYE SPORAH SHOW U.K

2:02 AM









IJUMAA HII JULY 26 CLOUDS TV kwenye WEEKEND CHAT SHOW....YAKUZA MOBB WATAKUWEPO

1:05 AM

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates