HII NDIO KAULI YA SINTAH BAADA YA KUTISHIWA MAISHA NA SHILOLE

2:36 PM

Akiongea kwa njia ya simu toka nyumbani kwake Sintah baada ya mtandao huu kutaka kueleza anachukuliaje vitosho hivyo vya Shilole ambapo alisema" Kaka naambiwa sana na watu hasa wanaofatilia mitandao eti natafutwa kupigwa na Shilole sasa ninacho shangaa huyo Shilole anapafahamu kwangu aje basi anipige au kwenye ofisi zangu anapajua namkaribisha vizuri sana jamani" Alisema Sintah

Aidha Sintah aliongeza kusema kuwa" Mimi huwa sio mtu wa maneno yeye aje tu anipige na sio kutangaza kwenye mitandao kuwa ananitafuta anipige hayo mambo ya bifu siku hizi watu wanayachukulia upuuzi kutafuta pesa ndio mpango mzima hivyo mimi namshauri Shilole kama underground wa sanaa nchini aachane na bifu badala yake akazane kwenye mambo yake ya kutafuta pesa kwa ajili ya maisha yake na familia kwani uzee unakuja" Alisema Sintah

Chanzo cha ugomvi huo ulitokana na Sintah kuandika habari kwenye mtandao wake kuwa Shilole hawezi kuimba na Jennifer Lopez wa Marekani bora hata Linah wa THT anaweza kufanya hivyo kwa hiyo Shilole aache kuidanganya jamii. Mtandao wa Sintah uliandika hivyo

Aidha Mashabiki mbalimbali hasa wasomaji wa kwenye mitandao wamemuunga mkono Sintah kuhusu kauri yake" Ni kweli jamani Shilole hawezi kuimba na Jennifer Lopez hayo ni masihara jamani kwenda marekani ndio aje kuongea ulojo kiasi hicho kwanza ikumbukwe kuwa wasanii wote wa tanzania kule Marekani hawajulikani hata, hasa kwa sisi tunaofatilia tunajia" Alisema mfanyabiasha wa kimataifa aliyejitambulishia kwa jina la Hamu Juma

DIAMOND PLATINUMZ ATABIRI KIFO CHAKE....AELEZEA YATAKAYOJIRI PINDI AKIFA...!!

2:29 PM
Msanii anayefanya vizuri sana kwa sasa Afrika mashariki Nasib Abdul aka Diamond Platnumz amezungumza maneno mazito aliyokiri huwa yanamtoa machozi, ni mambo yanayohusiana na ‘kifo chake’!
.
Dakika chache zilizopita hit maker huyo wa ‘Kesho’ ame post picha Instagram yenye sura yake na maswali
yanayouliza nini kitatokea baada ya kifo chake. Tazama picha hiyo inazungumza yenyewe

clip_image002 

Picha hiyo ilisindikizwa na caption hii

“One of my songs,always gets me crying whenever I listen to it, how I wish u would hear it, but then again I have no clue as to when I will release it… #WCB”

Platnumz amekaa kimya bila kutoa wimbo mpya kwa muda sasa, je unahisi kuna uwezekano ‘KAMA NIKIFA KESHO’ ukawa ndio ndio wimbo mpya anaotegemea kuachia hivi karibuni? Tusubiri tuone!

LEO KWENYE ZANZIBAR STAR PROFILE LEO TUNAMLETA, WIGO THE PRESIDENT

4:01 AM
Aimezaliwa tarehe 8/12/1987  hospital ya bumbuli wilaya ya lushoto mkoa wa tanga jina lake kamili ni william godson jeremiah anafanya kazi kama soloartst  pia yuko kwenye Band ya HAKUNA MATATA BAND, chini ya mkongwe jumanne malembeka

Unaweza ku chat na wigo hapa  www.facebook.com/william.godson.3?fref=ts

sikiliza moja ya kazi zake hii hapa

HII NDIO BEST SQUAD YA MWAKA 2009. VIPI WADAU MAONI YENU IRUDI TENA?

1:08 AM
HII NDIO BEST SQUAD YA MWAKA 2009.
VIPI WADAU MAONI YENU IRUDI TENA? MEMBERS NI: ISSA STAR, CHABI 6, HUNTER B, H-FEEY, ALPHA, MVUTO PUNCH & ANSWAAR
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates