LEO KWENYE ZANZIBAR STAR PROFILE LEO TUNAMLETA, ISON A.K.A ISON MWANAHARAKATI

8:06 AM

aNAITWA ISSA SWALEH ABDULLAH ABUUBAKAR Amezaliwa 4/9/1988/ Muembe ladu Hospitol : Elimu ya msingi shule ya Kilima hewa na  secondry kwamtipura kipindi chote cha masomo nilikua nikiishi Mikunguni : baba yangu mzazi ali fariki nikiwa tumboni hukotanga nakuzikwa uko kwakua uko ndiko aliko zaliwa
Kwa sasa nime ajiriwa na kampuni ya biashara katika kiwanja cha ndege zanzibar nimeowa na nina watoto wawili wakiume mkubwa anaitwa ISMAIL na mwengine anaitwa MALIQ . Mama yangu mzazi anaitwa SOPHIA

Mchumba wa Mabeste,Lisa amejifungua mtoto wa kiume "Kendrick

7:47 AM
check video mabeste akiwa hosptal na mchumba wake Lisa

BAADA YA KUANZISHA KAMPUNI YA VIDEO SIX RECORDS KUTOKA NA FILM INAYOKWENDA KWA JINA LA NDOTO TATA

7:32 AM
ASANTENI WA TANZANIA KWA SUPPORT ZENU FILAM YA NDOTO TATA SASA IPO NJIANI

By Six music zanzibar


Alipost producer M-touch kupitia page yake ya facebook
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates