LEO KWENYE ZANZIBAR STAR PROFILE LEO TUNAMLETA TILLION SLIM

5:08 AM

Amezaliwa tarehe 14 mwenzi  wa 2, mwaka 1994 mwembe ladu hosptal akapewa jina  Nassour issa hussein hassan ni msanii wa hip hop toka kisiwani zanzibar akiwa kwenye Label ya B-UNIT RECORDS chini ya producer Suma kopa akiwa tayari amesha fanya kazi zaidi ya tatu mpaka sasa

Unaweza ku chat na tillion slim kwenye link hii  www.facebook.com/tillion.s.don


Sikiliza kazi yake hapa  Song- nitapata Artst- Tillion slim ft Suma kopa

EPUKA ACCOUNT HII SIO YA LADY JAYDEE NI YA YAHAYA A,K,A MPIGAJI ZINGATI USIJE KUPIGWA...

4:13 AM

Soma walicho andika azam fc kuhusu ishu ya Abdulhalim Humoud

4:06 AM
1. Ana Barua Mkononi aliyopewa na Uongozi wa Azam Kumfahamisha kuwa yupo huru kujiunga na Jomo Cosmos,

2. Ana mkataba mkononi aliosaini kati yake na Jomo Cosmos

3. Azam FC wameshamwaga wino kwenye transfer contract kumruhusu akajiunge na Jomo Cosmos on free transfer tangia April 2013

Prezzo Hataki Kumuomba Msamaha Diamond Twitter

3:29 AM
Prezzo amesema hawezi kumuomba msamaha Diamond kwenye Twitter kwakuwa anaamini hakuna alichomkosea na ni jambo la kitoto.
Akiongea jana  mchana kwenye kipindi cha Mambo Mseto cha Radio Citizen, kinachoendeshwa Mzazi Willy M. Tuva, Prezzo amesema Diamond ndiye aliyemchokoza baada ya wasanii hao kutumbuiza mwanzoni mwa mwezi huu kwenye tamasha la Matumaini. 
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates