VIDEO- CHECK TRACK AKIMPA KIPIGO RAIA ZANZIBAR

7:07 AM

TRACK - LAST WARNING - NYINDA NYINDA

6:52 AM

Check Picha Mbalimbali Jinsi Leo Msanii Lulu Alivyokabidhiwa Tuzo Yake Ya ZIFF Kwa Mbwembwe Nyingi

6:38 AM


Hatimaye Lulu amepokea ile tuzo yake aliyo shinda kweye ZIFF kule Zanzibar kama msanii bora wa kike katika filamu za kiswahili. Hongera sana Lulu keep up the good work.

DJ CHOKA - LATINO NATION (PRODUCED BY PANCHO & HERMY B)

6:27 AM

TRACK- DARASA ft DITTO - WEKA NGOMA

6:23 AM

KWENYE PROFILE LEO TUNAMLETA DJ ZORO

5:16 AM

Jina langu naitwa zahoro salum ally i was born  25/7/1992 mnazi mmoja hosptal in Zanzibar for real napenda sana kazi ya udj na namatajio ya kufika mbali kwa hii kazi coz nina malengo nayo na kila siku  nimekuwa niki buni vitu vipya hee mungu nisahidie kwa kazi ya mikono yangu kwani matarajio yngu kuwakilisha Zanzibar na Tanzania kwa hii fan thanks for your support

unaweza kuchat na Dj zoro kupitia: www.facebook.com/djzoro.man


CHEK VIDEO DJ ZORO AKIFANYA MIXNG,,,,,

VIDEO MODEL WA NGOMA YA LADY JAY DEE YAHAYA HUYU HAPA

4:32 AM

 
 
Mwigizaji maarufu wa filamu hapa Bongo, Kulwa Kikumba maarufu zaidi kama Dude, amechukua shavu la kucheza kama Yahaya katika video ya hitsong ya lady jay Dee ambayo upigaji picha zake unatarajiwa kukamilika leo.

HAPPY BIRTHDAY CHIDY SHORTCUTY

4:13 AM

NEW TRACK- LAZZY BABY FT DA VOICE -MWANZO

2:45 AM
 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates